okLeo amepatikana mshindi wa Foleni challenge Dae es salaam,
Je unahisi nini hasa kilichoandikwa ndai kilichoshawishi wizara nzima ya ujenzi ?
Au sio!?Leo amepatikana mshindi wa Foleni challenge Dae es salaam,
Je unahisi nini hasa kilichoandikwa ndai kilichoshawishi wizara nzima ya ujenzi ?
Ujinga mtupu! Ina maana wizara haijui ukipanua na kuboresha usafiri wa umma utapunguza magari binafsi katikati ya Jiji?Leo amepatikana mshindi wa Foleni challenge Dae es salaam,
Je unahisi nini hasa kilichoandikwa ndai kilichoshawishi wizara nzima ya ujenzi ?
nashukuru kwa mchango kumbe na wewe pia unaona swala sio kuondoa ni kupunguzaSasa uhisi ili iweje hayo ni matumizi mabaya ya akili kikubwa tusubiri solution kama itawekwa tutajua alichoshauri ila mambo ya kuhisi hapana tuna mengi ya kufikiria...ila mwisho wa siku foleni kuisha ni ngumu sana labda kama solution yake itapunguza less than 5%ya foleni
Kuwa na usafiri wa helkopta jijiniLeo amepatikana mshindi wa Foleni challenge Dae es salaam,
Je unahisi nini hasa kilichoandikwa ndai kilichoshawishi wizara nzima ya ujenzi ?
Sasa unakuwaje innovative kama unakuja na mbinu zile zile za siku zote?Wizara ina kila kitu ila ilijaribu kuweka ushirikishwaji wa vijana katika maendeleo ya nchi
Watapanda wale wavingora watupishe kwa road!Helicopter nani ataweza nauli zake kama mafuta yakipanda bei