Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa mkoani singida Makonda Januari 25, 2024 amesema kuwa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuna...
4 Reactions
71 Replies
6K Views
Sikiliza Dakika 6 za Paul Makonda akiongea na Bashe kuhusu sukari kwenye video hapa Chini: Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewahakikishia Watanzania kuwa hali ya upatikanaji wa bei ya sukari...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema. "Wenzetu wa...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Hamad Masoud Hamad katibu mkuu wa CUF asema hakuna haja ya kuweka mbinyo miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zibadilishwe kupitia maandamano ya amani yaliyoitishwa na...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata...
16 Reactions
76 Replies
4K Views
1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction. 2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna...
74 Reactions
179 Replies
11K Views
Idara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini). Idara ambayo ni mama ya inchi kama...
12 Reactions
55 Replies
4K Views
Baada ya Mwenyekiti wa Chadema kuutangazia Umma kuwa chama chake kinategemea kufanya maandamano ya amani jijini Dar tarehe 24 mwezi huu, kama kawaida viliibuka baadhi ya vyama, wakiongozwa na...
24 Reactions
71 Replies
4K Views
RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUJENGA MADARAJA KUSIKOFIKIKA :BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga...
0 Reactions
1 Replies
433 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa hapo jana huko babati Mkoani Manyara ametoa hotuba ya mwaka,hotuba iliyoteka na kugusa hisia za...
3 Reactions
94 Replies
5K Views
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania. So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole. Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais...
11 Reactions
127 Replies
9K Views
Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa...
1 Reactions
59 Replies
4K Views
Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho...
10 Reactions
150 Replies
8K Views
Habari JF , kwa kifupi kabisa kwa katiba tuliyo nayo ni katiba ambayo ina upendeleo mkubwa kwa watawala na kuwapa nguvu kubwa kutawala . Kwa maana nyingine sio katiba ya kizalendo sababu haiwapi...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Yaani habari inayo trendi ni Rais KURUHUSU Maandamano. Imekua ndipo habari kubwa zaidi hâta ya hoja za Chadema. Kiukweli Mpaka Sasa ni kama hakuna MAANDANO yaliyo tokea. Kwa jambo hili Rais...
4 Reactions
12 Replies
866 Views
Paul Makonda a.k.a Bashite wa Kolomije ameteuliwa hivi karibuni kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM. Bashite ikumbukwe alikuwa mkuu wa Wilaya na Baadaye Shujaa alimteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
MAONI MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE MASUALA YA UTAWALA, SHERIA NA KATIBA 6 January 2024 Katibu Mkuu chama cha walimu (CWT) Mwl. Japhet Maganga ashauri ma- DED waendelee kusimamia Uchaguzi...
3 Reactions
34 Replies
8K Views
Yaani CCM yangu, hata uwe mbumbumbu kiasi gani, tunachojali ni uwe na uwezo wa kutuletea ushindi tu. Kwa kifupi uwe la saba, uwe na cheti feki, uwe hujasoma, uwe mchawi, uwe tajiri, uwe profesa...
0 Reactions
2 Replies
390 Views
Back
Top Bottom