Mitaa ya Mbezi Kimara, Kibamba hadi Goba inajengwa kwa kasi kubwa sana na serikali iko usingizini wakati watu wanajenga bila utaratibu. Barabara hazipitiki gari zinapishana kwa kuviziana.
Kila...
Ndugu zangu Watanzania,
Huo ni ukweli mchungu ambao napenda umfikie Joseph mbilinyi au Sugu, kuwa nafasi aliyoipata siku za nyuma ya kuongoza jimbo la Mbeya mjini kwa miaka kumi haipo tena...
Tumesema mara nyingi hapa turufu ya ushindi wa CCM 2025 iko mikononi mwa Shujaa Magufuli hata kama amekwishatwaliwa
Kazi zake zinaiweka CCM kwenye ramani miaka 30 mbele
Nawatakia kila la Kheri...
Nimeshangaa jinsi suala la Katibu Mkuu wa CWT mwalimu Japhet Maganga linavyofanyiwa siasa badala ya kuchukuliwa kama suala la kiutumishi. Kwanza sio jambo la kawaida mtumishi wa umma kufukuzwa...
Rais Samia ameanza kufoka ati "stupid"?
Huu ni mwanzo tu wa ripoti za CAG kuumbua zaidi utawala wako , ufisadi uliuasisi mwenyewe mwanzoni kabisa ya utawala wako.
Wakati anaingia madarakani, kwa...
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani...
Rais Samia anatarajia kuungana na Viongozi wengine wa Dunia kushiriki Mkutano mkubwa wa Mazingira Duniani COP 28 ambopo ataingiza ujumbe wa Tanzania.
Mkutano huo unatarajiwa kufanyika Dubai...
Uzuri wa siasa ni kwamba hakuna adui wa Kudumu Wala rafiki wa Kudumu ni kuangalia upande maslahi utakaokupa faida.
Naunga mkono huu uelekeo wa Bimkubwa ila kikubwa tusirudi kule kwenye utekaji na...
Zimbabwe imetengeneza sarafu ya Dhahabu yenye thamani sawa na USD 900 baada ya pesa Yao kutoimarika.
Sie Watanzania tumebinafsisha migodi yetu, wachimbe pesa Kisha kutupa mgao wa makaratasi, tena...
Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli.
Mkuu wa mkoa kabla ya soko la...
Waswahili Wana msemo wao " Kubwa Jinga" samahani lakini Tunda Lissu.
Yaani Singida ina miaka 60 lakini imeachwa Mbali kabisa na akina Njombe wa juzikati Hapa?
Ila ufisadi mwingi unaanziaga...
Viongozi wengi hung’ang’ania madaraka mpaka watolewe lakini angalau umeonesha njia nyingine kwa wenzako CCM.
Umeonesha kuwa hupendi kukokotwa kama punda kwa maslahi ya wachache.
Umeonesha...
Nauliza tu waungwana maana hali hii inanikumbusha wakati ule Chadema ikiwa moto aliondolewa Makamba akaletwa Mkama kisha akaondolewa akaletwa Komredi Kinana na CCM ikatulia Baada ya Goli la mkono...
Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdul Aziz M. Abood 28/11/2023 amefanya ziara ya kikazi kwenye Kata ya U/TAIFA NA K/NDEGE.
Lengo ya ziara hii Mhe Mbunge kwanza ni kusikiliza kero za...
Naomba nianze kwa kuomba msamaha kwa kweli kila nikisikia huyu jamaa kafungua domo lake nashindwa kulala naweweseka wiki nzima. Nchimbi, najua unapita hapa kila siku ila kwa taarifa yako tu kama...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
7 FEBRUARY 2013
Dodoma - THE government refuted claims that soldiers from neighbouring countries have entered the country and are terrorizing residents in...
Salute wakuu. Moja kwa moja kwenye mada,Kwa sasa ndani ya chama pendwa, chama tawala, chama kiongozi na chama kikuu na kikongwe Afrika na dunia nzima, kuna joto la nani anafaa kushika nafasi ya...
Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa...
Wananchi wa Sae mpya jijini Mbeya wanataka kubomolewa nyumba zao kwa maonevu makubwa. Awali waziri Lukuvi ALIKUJA Kwa Wananchi na kusema umemtuma kurejesha eneo lao ambalo TARI Kwa miaka zaidi ya...