Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bunge lihoji serikali kuhusu Joshua Mollel na Clement Mtenga waliotekwa na Hamas serikali inafanya juhudi gani waachiliwe
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatilia Suala zima la Ubunge wa Viti Maalum namna Mchakato wake unavyopaswa kuwa Kisheria na namna Mbunge anavyoweza kupoteza Ubunge wake kwa Mujibu wa KATIBA ya NCHI. Kwa Mujibu wa...
1 Reactions
7 Replies
983 Views
Wakili msomi Peter Madeleka ameandika Kwenye ukurasa wake wa X kwamba Chato ndio Wilaya pekee nchini Tanzania ambayo ina Taa za Kuongoza Magari barabarani Je, ni kweli hakuna Wilaya nyingine...
10 Reactions
72 Replies
6K Views
Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo. Mpaka leo watanzania Wana shida...
14 Reactions
202 Replies
8K Views
Hukumu ya wanachama 19 wa CHADEMA ilitolewa na Mhe. Jaji Mkeha kuhusu wanachama 19 wanaodaiwa kuwa walijipeleka Bungeni bila ridhaa ya Chama chao. Hukumu imetoka na kueleza kuwa Kamati Kuu ya...
4 Reactions
11 Replies
888 Views
My Take Hongera sana Serikali ya awamu ya 6 na Tanesco Kwa sababu hii ni mapema zaidi kabla ya mwezi June ambao ulipangwa kabla. Kufuatia uwepo wa mgao wa umeme nchin Serikali kupitia Wizara ya...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Mimi napenda kutoa mawazo baada ya utafiti na huu hapa ni utafiti wangu wa usafiri. Kwanza nianze kueleza hali ya sasa ya pato la basi mmoja kama mfano kutoka Dodoma kwenda Dar. Hili...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania wanaoendelea kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya makombora yanayofanya na Taifa la Israel katika Ukanda wa...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Mh rais naomba uelewe kuwa utumishi kwaya sio kila kitu wanafanya usanii
0 Reactions
4 Replies
660 Views
Ile ajenda ya Kodi za zamani aliyoisema Mh. Rais na Mbunge wa Bukoba Mjini ni taa ya kukaa sawa dhidi ya Moses Machali, mkuu wa wilaya ya Bukoba, kwamba "walangila wameshamkalia vikao, na...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Ukoloni wa pili wa Afrika: MPANGO UOVU WA CHINA KWA AFRIKA Kufikia mwaka wa 2050, kulingana na vipimo vya ethnografia ya kijiografia ya bara, Afrika itakuwa bara la Uchina. Viongozi wa Kiafrika...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Nchi nyingi za Kiafrika haziendelei kwa sababu viongozi wengi wa bara la Afrika ni vibaraka wa mataifa ya ulaya, kazi yao kubwa ni kutekeleza maelekezo ya mabwana zao kutoka Ulaya, hawana kbs...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanajamii, Huyu jamaa ni mtanzania au mkenya? maana ana jiamini na anaongea live bila chenga kwamba kuna mawaziri wana mhujumu Raisi na Hawampendi Samia ila wana msabotage kujiandaa na ichaguzi...
4 Reactions
41 Replies
6K Views
Wakati Vita iliposimama Putin wa Russia aliongea direct na Viongozi wa Hamas na raia wake wenye Uraia Pacha na Israel wakaavhiliwa Hapa kwetu niliona Waziri Makamba ametweet kwamba aliongea na...
0 Reactions
1 Replies
452 Views
Bila kujali utaifa, kabila, dini, n.k. kilichofanyika kwa mtanzania mwenzetu ni unyama uliopitiliza na ugaidi wa wazi kabisa. Kuna sababu ya kuendelea kuwavumilia watanzania wanaosapoti magaidi...
7 Reactions
13 Replies
956 Views
Huu ugonjwa hebu upotezeeni kabisa ,tulishakubali kuishi nao .kutuletea taarifa za covd ni kututisha na kuleta taharuki isiyo na tija hata inaweza kufukuza watalii kuja nchini achaneni na hizo...
1 Reactions
4 Replies
634 Views
Mkiambiwa muwe mnaelewa! Chagua Isaack Mwigulu Nchemba kwa nafasi ya ujumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bara🤣🤣🤣 Hasa wewe johnthebaptist Wengine hawa hapa
11 Reactions
56 Replies
4K Views
MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA MUFINDI KUSINI UWASILISHAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI (CCM) 2020 - 2023 Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kila siku chunya umeme unakatwa! Tanesco kama tumewakosea mtusamehe! Tupatieni umeme kama mmetusamehe!
1 Reactions
0 Replies
456 Views
Wana Jamvi, Kwa heshima kubwa nimeona niletee Mahojiano haya na Baba Mzazi wa Ndg yetu Daktari Hamisi kigwangallah akiomba Msaada wa Matibabu. Nimeamua kuyaleta hapa Mimi ni member wa jukwaa la...
19 Reactions
671 Replies
91K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…