Asilimia kubwa ya viongozi wa bara la Afrika ni kama manyampala wa wazungu. Je, Hayati Magufuli alikuwa nyampala wa nchi gani Ulaya?

yvegenc prymacov

JF-Expert Member
Jan 22, 2023
1,529
1,914
Nchi nyingi za Kiafrika haziendelei kwa sababu viongozi wengi wa bara la Afrika ni vibaraka wa mataifa ya ulaya, kazi yao kubwa ni kutekeleza maelekezo ya mabwana zao kutoka Ulaya, hawana kbs mpango wa kuendeleza nchi zao na watu wao, ndio maana mataifa ya kiafrika yanazidi kuwa masikini, pamoja na utajiri wa maliasili tuliojaliwa na mwenyezi Mungu.

Lkn najiuliza hayati John Pombe Joseph Magufuli, yeye alikuwa ni kibaraka wa nchi gani? Yeye alikuwepo kulinda makampuni ya kibepari ya nchi gani? Tujuzane wakubwa, mapovu yanaruhusiwa.
 
Alikuwa kibaraka wa Uganda,Rwanda na Burundi.
 
Kama angekua ameukataa ukibaraka kwa wazungu, basi kwenye ile bajet ya mwaka wa fedha 2015 -2016 asingepitisha bajeti ya tilioni 28.5 wakati mapato yake ya ndani ni tilioni 18.
Alikopa fedha kalibu tilioni 10 kwa wahisani ambao ni haohao wazungu.
Ule ni unafki tu.
Waafrika bado tuna safari ndefu sana.
 
Soma uzi kabla hujajibu.
 
Na hata baada ya kuvuruga uchaguzi wa 2020 akaona Bunge litakosa wabunge wa upinzani akaamua kuwatoa Wabunge wa chadema waliokuwa kifungoni kwa siasa zake chafu usiku na mwenda kuwaapisha Dodoma.Kwa vile ni wote ni wanawake na Wazungu wanapenda wanawake kuwa viongozi akawaapisha bila aibu kwa kusema ni Wabunge wa CHADEMA na aliposhambuliwa au kukoselewa akajitetea kuwa CHADEMA kuna mfumo dume na wanawadharau sana wanawake hivyo basi kwa mujibu wa katiba yake ya Chato na Ndugai ikabidi waapishwe kwa Lazima ili kulinda demokrasia yao ya kinyonyaji.
Yote haya ni kuogopa kunyimwa misaada kwa Wazungu akaona ameshinda kwa kishindo cha ajabu.Kwa vile Mungu Mwenye rehema hapendi dhuluma akasema lazima Corona ikutafune na akatafunwa kweli kweli na Corona leo ameacha majonzi kwa vibaraka wake wasiojulikana,familia yake,ukoo wake,kabila lake,kanda yake na chama chake cha majambazi.
 
Nafikiri undelete mada nyingine juu ya hii hoja yako,jingene jifunze kujibu kulingana na hoja iliyopo. Hoja ni je,jpm alikuwa kibaraka wa nchi gn? Jikite kwenye hilo mkuu wangu.
 
Kama angekua ameukataa ukibaraka kwa wazungu, basi kwenye ile bajet ya mwaka wa fedha 2015 -2016 asingepitisha bajeti ya tilioni 28.5 wakati mapato yake ya ndani ni tilioni 18.
Alikopa fedha kalibu tilioni 10 kwa wahisani ambao ni haohao wazungu.
Ule ni unafki tu.
Waafrika bado tuna safari ndefu sana.
Nimegundua watu. wengi humu uelewa ni mdogo sana,kwani marekani yeye anaongoza nchi kwa mfumo upi?,hakopi au hakopeshwi?,lkn pia hoja iliyopo mezani ndio hii?!,
 
Na huo ndio ukweli mpaka kwenye uchaguzi wa 2023 alikodi askari wengi kutoka nchi hizo kuja kuvuruga uchaguzi na kupiga Watanzania.
Nyie chadema nafkri hamko vzr,punguzeni hasira,lkn pia jikite kwenye mada husika,na sio lazima kila kitu uchangie,mambo mengine muwe mnaacha yanapita tu,toa jibu kulingana na mada iliyo mezani.
 
Back
Top Bottom