Huyu ni nani anayejiamini kuongea chochote nchi hii?

Hell2Heaven

Senior Member
Mar 3, 2021
166
452
Wanajamii,

Huyu jamaa ni mtanzania au mkenya? maana ana jiamini na anaongea live bila chenga kwamba kuna mawaziri wana mhujumu Raisi na Hawampendi Samia ila wana msabotage kujiandaa na ichaguzi wa 2025, naanasema hata anajua siri nyingi za kumuangusha mama Samia, na nimpango wa MaDED, Wakuu wa mkoa, na Mawaziri walio karibu na Raisi ila wanajifanya kumsaidia mama ila ukweli wana mtandao maalumu wa kumhujumu Rais kwa siri iliaonekane kashindwa

Na ameenda mbali zaidi anasema kun mawaziri wanamchukia Mama Samia sana ila wana pretend mbele yake ila kiuhalisia wanatamani sana hata waziri mkuu asiwe Majaliwa. Sasa najiuliza kama ndivyo na mtu huyu anaongelea kwenye TV live je Vyombo vya usalama vinachukua atua gani?

Je, huyu mtu ni nani? Mwenye profile yake anisaidie tafadhali.

IMG_20221106_224359_047.jpg
 
Wanajamii.. huyu jamaa ni mtanzania au mkenya? maana ana jiamini na anaongea live bila chenga kwamba kuna mawaziri wana mhujumu Raisi na Hawampendi Samia ila wana msabotage kujiandaa na ichaguzi wa 2025, naanasema hata anajua siri nyingi za kumuangusha mama Samia , na nimpango wa MaDED, Wakuu wa mkoa, na Mawaziri walio karibu na Raisi ila wanajifanya kumsaidia mama ila ukweli wana mtandao maalumu wa kumhujumu Rais kwa siri iliaonekane kashindwa , na ameenda mbali zaidi anasema kun mawaziri wanamchukia Mama Samia sana ila wana pretend mbele yake ila kiuhalisia wanatamani sana hata waziri mkuu asiwe Majaliwa.. sasa najiuliza kama ndivyo na mtu huyu anaongelea kwenye TV live je Vyombo vya usalama vinachukua atua gani??

Je huyu mtu ni nani ??mwenye profile yake anisaidie tafadhali.View attachment 2408865View attachment 2408864View attachment 2408866
Huyo ndo Agera 1 kama ulikuwa humjui wenzio wananijua mbona
 
Emu tujaribu kuwataja hao mawaziri.

Mimi naanza na yule waziri aliyekuwa kinara wa kupanga njama za kumhujumu mwenzake.
 
Dildo ni artificial penis, je lina mdomo na ulimi wa kupiga deki chumvini?

Hakuna mbadala wa mwanaume, ni ushetani tu.
Ulimaanisha hiyo haliwezi. Nilijua umetumia neno mbadala. Lile linaingia tu naona halina hizo mbwembwe...
 
Back
Top Bottom