Liwe kosa la jinai kwa mtanzania yeyote kuanzia leo kusapoti magaidi wa Hamas waliomuua mtanzania mwenzetu, kifungo kiwe miaka 5 bila faini.

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Bila kujali utaifa, kabila, dini, n.k. kilichofanyika kwa mtanzania mwenzetu ni unyama uliopitiliza na ugaidi wa wazi kabisa.

Kuna sababu ya kuendelea kuwavumilia watanzania wanaosapoti magaidi wa hamas baada ya kuyaona walichomfanyia kijana wetu wa Kitanzania ? HAPANA !!

Ni toe rai kwamba iwe official kuanzia kesho asubuhi mtu yeypte anaewasapoti Hamas kwa kuwasifia ama kuwaombea ama kuwatetea kwenye status, magroup, mtaani, vyuoni, n.k. nae atambulike kama assistant wa ugaidi
 
Mnaacha kupigana na Hamas wa hapa Tanzania (ccm), mnarukia ya huko Palestine na Israel.

Serikali ya ccm chini ya jiwe ikiwatumia akina Makonda, Sabaya, Gambo, Mnyeti, Hapi, n.k imewachinja wafuatao:-
1. Ben Sa8,.
2. Akwilina Akwiline.
3. Azory Gwanda.
4. Ikqmpiga risasi 16 Tundu Lisu.
5. N.k.

Pia serikali ya jiwe imepora fedha za watu, imeteka watu na kuwafilisi watu wengi.

Ondoeni vibanzi kwenye macho yenu kabla ya kuondoa boliti kwenye macho ya wenzenu
 
Bila kujali utaifa, kabila, dini, n.k. kilichofanyika kwa mtanzania mwenzetu ni unyama uliopitiliza na ugaidi wa wazi kabisa.

Kuna sababu ya kuendelea kuwavumilia watanzania wanaosapoti magaidi wa hamas baada ya kuyaona walichomfanyia kijana wetu wa Kitanzania ? HAPANA !!

Ni toe rai kwamba iwe official kuanzia kesho asubuhi mtu yeypte anaewasapoti Hamas kwa kuwasifia ama kuwaombea ama kuwatetea kwenye status, magroup, mtaani, vyuoni, n.k. nae atambulike kama assistant wa ugaidi
We nae ushaanza kuwa popoma

Umekula Kwanza?
 
Akili za Watanzania bhana!! Badala ya kuishauri nchi yako kuwarejesha raia wote walioko huko Israel, na pia kusitisha uhusiano na hiyo nchi kutokana na uzembe wao wa kushindwa kuwalinda raia wake na pia wale wa kigeni wakiwemo hao Watanzania, kiasi cha kusababisha hao Hamas kuwavamia kizembe tu saa 12 asubuhi na kuua maelfu ya watu! Badala yake wewe unakuja na hoja za kilevi!!!
 
Bila kujali utaifa, kabila, dini, n.k. kilichofanyika kwa mtanzania mwenzetu ni unyama uliopitiliza na ugaidi wa wazi kabisa.

Kuna sababu ya kuendelea kuwavumilia watanzania wanaosapoti magaidi wa hamas baada ya kuyaona walichomfanyia kijana wetu wa Kitanzania ? HAPANA !!

Ni toe rai kwamba iwe official kuanzia kesho asubuhi mtu yeypte anaewasapoti Hamas kwa kuwasifia ama kuwaombea ama kuwatetea kwenye status, magroup, mtaani, vyuoni, n.k. nae atambulike kama assistant wa ugaidi
Mbona vitu kama hivyo tz vinatokea
 
Kweli inasikitisha sana kwa alichofanyiwa huyu kijana, hakustahili hayo. Serikali iibane Palestine kwa hili.

Lakini pia inasikitisha watoto na kina mama wa Ki Palestine wasio na hatia kupigwa mabomu na Israel.
 
Bila kujali utaifa, kabila, dini, n.k. kilichofanyika kwa mtanzania mwenzetu ni unyama uliopitiliza na ugaidi wa wazi kabisa.

Kuna sababu ya kuendelea kuwavumilia watanzania wanaosapoti magaidi wa hamas baada ya kuyaona walichomfanyia kijana wetu wa Kitanzania ? HAPANA !!

Ni toe rai kwamba iwe official kuanzia kesho asubuhi mtu yeypte anaewasapoti Hamas kwa kuwasifia ama kuwaombea ama kuwatetea kwenye status, magroup, mtaani, vyuoni, n.k. nae atambulike kama assistant wa ugaidi
Umeshashiba zako nguruwe pori co????
 
wazo na mtazamo wako ni wa kigaidi mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom