Makonda ni kama hamtaki Mwana FA pale Wizarani

Makonda ni kama hamtaki Mwana FA pale Wizarani

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,495
Reaction score
10,392
Ni kama figisu zimeanza.

Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.

Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.

Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂

Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.

Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.
 
Wote hap no batili
IMG-20260119-WA0002.jpg
 
Mwana FA na Mchengerwa walipiga hela ndefu sana hapo wizarani. Unaambiwa kwake mwanfa utadhani yard ya magari. Kuna rangerovers autobiography 2025, Toyota prado 2025, wagon 2025, Ferrari siyo hizo tu apartments za kutosha Dubei.

King Kong III RRONDO

adriz de mbusii
Kwenye ile Wizara wamepiga Pesa kutoka chanzo kipi Mkuu?
 
Hakuna roho mbaya kuanika maovu kwenye wizi wa pesa za walipa kodi. Nyie mnaowatetea ndo mna roho mbaya.
Unaweza kuweka ushahidi wa huo wizi au ni maneno ya vijiweni?. Ukishindwa kuthibitisha wizi hiyo inakuwa roho mbaya yenyewe.

Kutaka kuchafua jina la mtu fulani pengine kwa sababu unamchukia huyo mtu.
 
Unaweza kuweka ushahidi wa huo wizi au ni maneno ya vijiweni. Ukishindwa kuthibitisha wizi hiyo inakuwa roho mbaya yenyewe.

Kutaka kuchafua jina la mtu fulani pengine kwa sababu unamchukia huyo mtu.
Najua nachosema. Mimi niko kitengoni tena jikoni yote yanayoendelea nchini nayafahamu na kuwa briefed kila siku.
 
Back
Top Bottom