I goes to the name of Issa Ally Mchungahera

I goes to the name of Issa Ally Mchungahera

Taabu tupu kwa kweli humo ccm. Mtu mpaka anafikia hatua hiyo na wanamuleta kwenye kadamnasi, kuna shida sehemu huko kwenye kwenye Team ya kuwachuja...
Kwa sasa criteria ni kuwa chawa na kulamba watu miguu. Halafu supika anasema huko nyuma tulikuwa tunaheshimika, ndio waliheshimika since kulikuwa na watu waliokuwa wanafanya vitu vya maana in global forums. Leo ni nani anaweza kwenda kutoa hutuba kwenye baraza la umoja wa mataifa kama ndo haya matutusa yanaomba uwakilishi.
 
CCM Kazi munayo... hivi hawa watu huwa munawachuja namna gani mpaka munawaleta sebuleni kwa kadamnasi?

Sikilizeni wenyewe hapa:
View: https://youtube.com/shorts/DteGyHfWMlI?si=G2EpvTOYd3oogcVh

Tatizo moja kubwa la Tanzania sasa hivi ni kuwa watu wengi hawana tena aibu kufanya uzembe kwenye mambo serious kabisa. Sasa mkuu unasema nani anawachuja wakati mama lao ulisikia alivyokuwa anatoa boko la bei ya mafuta? Ile ilikuwa siyo kukosea bali ndiyo uwezo wake ulivyo. Viongozi wengi ndivyo walivyo, ndiyo maana unaona nchi inakwenda mrama.
 
Back
Top Bottom