Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijafuatilia huu mjadala,nilikuwa off-line siku chache. Hili wazo la 4R sikuipata,ni nani mwanzilishi wake? Ni wazo la Ikulu? Ni wazo la Rais Samia? Reconciliation, Resilience, Reform...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Hotuba ya rais wakati akikabidhiwa ripoti ya pili ilikuwa ni attention ya vyombo vingi vya habari wadau mbalimbali na potential investors pia Rais anasisitiza juu ya kuvutia wawekezaji, kuwasamehe...
18 Reactions
57 Replies
5K Views
Wapo Wazazi wengi hasa kanda ya Ziwa wanatafuta namna ya kuwarejesha Watanzania ndugu zao Nchini. Taarifa za baadhi ya watanzania waliofanikiwa kurejea Nchini zinasema pasipoti zao zinachukuliwa...
22 Reactions
156 Replies
8K Views
Tuliambiwa humu na kwingineko kwamba Watumishi wale watafikishwa Mahakamani, tena tuliambiwa katika lugha iliyojaa Mikwara hasa, tukajua hakika wezi wale watakiona cha moto! Sasa baada ya Kimya...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwanza naomba kukupongeza kwa kuendelea kuaminiwa kwako kutumikia serikakli yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia awamu ya nne hadi leo awamu ya sita hongera sana.Naomba kuzungumza na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jambo la kwanza ni torture. Utesaji wa inmates ambao unafanywa na polisi pamoja na TISS. Kumkamata mtu na kumweka mahabusu au kumweka jela haionekani kwamba ni adhabu ya kutosha kuwashikisha...
2 Reactions
10 Replies
951 Views
Ndugu zangu Watanzania, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hasssan imetoa kibali kwa TAMISEMI kuajiri walimu na wataalamu wa afya zaidi ya 23,000 mwezi januari na februari,hayo yameelezwa na waziri wa...
7 Reactions
75 Replies
7K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022-2023 Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt...
1 Reactions
1 Replies
707 Views
Watanzania wamehamasishwa kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza na kukamilisha miradi ya maendeleo anayotekeleza. Rai hiyo...
0 Reactions
3 Replies
629 Views
Katika kuhakikisha Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linapata vitendea kazi vitakavyo tumika katika kutimiza majukumu yao,Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Priscus tarimo amewezesha Jeshi hilo kwa...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo tarehe 8 Januari, 2024 amefungua Kongamano la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Zanzibar ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Ikiwa uchaguzi wa 2025 utakuwa huru na haki, kama tunavyotarajia kutokana na matarajio ya wananchi ya kupatikana kwa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, basi miongoni mwa majimbo ya mwanzo...
7 Reactions
85 Replies
6K Views
Hebu jisomee mwenyewe huu utetezi duni. ======== Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa zilizoandikwa mitandaoni kwamba iliuziwa ndege hii ya Q300 Bombardier ikiwa tayari ‘imechoka’...
7 Reactions
107 Replies
10K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeweka kipaumbele namba moja katika sekta ya elimu imeongeza bajeti kutoka shilingi bilioni 265...
0 Reactions
2 Replies
398 Views
Baada ya kufichuka kwamba Watendaji wa Halmashauri ya Mbeya ni wezi na kuthibitika kuwa , wamechepusha mapato ya halmashauri na kugawana wanachochepusha (yaani Pasu pasu) , Nakuomba sana Mh Samia...
6 Reactions
53 Replies
5K Views
Mauaji yamezidi kuongezeka nchini. Matukio ya vifo vya utata vinavyofanywa na wanajamii pamoja na dola vimekuwa vingi. Mapuuza yamezidi kuwa mengi na Mamlaka za uchunguzi zimezidi kutoa ufafanuzi...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Mpango wa JMT kuingia mkataba wa kupeleka wafanyakazi Uarabuni ni mbinu zilizotumiwa na wakoloni wa Kiingereza kutawala kwa njia isiyo wazi (indirect rule). Wakoloni walichukuwa watoto wa Machifu...
7 Reactions
12 Replies
922 Views
Naipongeza juhudi inayofanywa na serikali kupanua barabara kuu Mkoani Mbeya. Lakini najiuliza ni kwa nini wajenzi wameanza na maeneo yasiyo na matukio ya kupoteza maisha ya wananchi? Binafsi...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kumekua na mazoea sana katika shule, vyuo, nyumba za ibada, taasisi , mashirika na ofisi za kiserikali na binafsi kwa wale wanaotumia bendera ya Taifa kupandisha na kushusha bendera ya Taifa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Huu ni sehemu ya Mchango alioutoa Emmanuel Masonga Bungeni Dodoma alipokuwa anachangia kwenye Muswada wa Sheria za Uchaguzi . Sheria ya sasa inataka aliyeenguliwa akate rufaa kwa Tume yenyewe ...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…