Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu amesema atagombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2020 na ana uhakika ataibuka mshindi.
Sugu ameeleza hayo leo Jumatano...
Katika uchaguzi huru na wa haki, kila mpiga kura huwa na uhuru wa kuchagua mgombea yeyote anayeona anafaa lakini pia huwa huru kwa lolote ikiwa kura yake ameiharibu, amechagua kiongozi ambaye...
Wadau, amani iwe kwenu.
Ni dhahiri sasa Tanzania ya Kijani imewezekana. Na hii ni kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanyika ndani ya chama chetu. Viongozi wetu wametupeleka ng'ambo kusoma ili...
Mimi ni mmoja wa watu ambao wanaamini kwamba kama taifa, tulipaswa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi.
Sitazungumzia mambo ya kiufundi na ya...
Habari za jioni watanzania!
Kwa kipindi cha takribani mwezi mmoja tumekuwa kwenye mchakato wa uchaguzi. Katika kipindi chote hiki Watanzania tumeonesha ustaarabu wetu kwa kufanya kampeni safi...
Niliandika makala kadhaa hapa nikaonekana chizi, mara CCM, kumbe sina hata chama.
Mm niliacha siasa baada ya Lowassa kukubali matokeo, bila action wala tamko wakati 2015 Watanzania walikua tayari...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Kwa hali inavyoenda sijui kama upinzani utapata wabunge hata 5. Lakini kuna mantiki gani wao kuwa wabunge katika mazingira haya?
Bora waachie wajivue tu wabaki CCM 100% maana kinachofanyika ni...
Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni...
Katika pitapita zangu nimeona wafauasi wa CCM karibu nchi zima wanafurahia kuanguka kwa wapinzani nguri wa Tanzania kama vile HECHE,MDEE,ESTHER, LEMA,SUGU,MBOWE,MSIGWA,na wengineo.
Hawa viongozi...
Nimesahau, nadhani. Hivi lini watanzania tumedai haki zetu?
Lini wahusika tumewahi kupambana?
Watanzania lini tumefungua midomo yetu, tukatoka nje kwetu na kwenda kudai haki zetu?
Au hiyo kazi ya...
WanaJF,
Katika hali ambayo ilikuwa inatarajiwa na wengi ni kwamba Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai kupitia tiketi ya CHADEMA ambae pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amegaragazwa vibaya sana kwa...
Imani tuliyonayo watanzania kwa jemedari wetu wa mapambano dhidi ya ufisadi, rushwa, uhujumu uchumi na uzembe ni wa kiwango kisichotiliwa shaka yoyote hususani kwa tukio lilipo mbele yetu la...
Fred Lowassa ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa achukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Monduli jijini Arusha.
======
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli...
Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?
Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo...
Kila siku nikifuatilia nyuzi hapa JF nakutana na nyuzi nyingi zikimzungumzia Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe askofu Josephat Gwajima.
Nabaki najiuliza kwa majimbo yote ya Tanzania na hata majimbo...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Songwe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Kwa upande wa udiwani matokeo yaliyokwishatoka yanaonyesha CCM ikiwa mbele kwa kuzoa kata nyingi.
Hata ubunge hakuna Mgombea wa Upinzani aliyetangazwa kushinda hadi sasa na tayari kiongozi mkuu...
Kama wote tulivyoshuhudia tangu siku ya kwanza maandalizi ya zoezi la upigaji kura, hadi sasa kinachoendelea ni kituko ambacho hata dunia huenda imepigwa butwaa.
Mawakala wa upinzani kufanyiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.