Huyu Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais!
Huyu jamaa ukimtazama haraka haraka unaweza kumchukulia poa Ila spiritual na...
Kuna Hali Fulani nchi inalazimishwa kuwadekeza wanawake. Au kuwafanya wajihisi kama ni kundi la kuonewa huruma yaani walemavu. Kila mahali wanataka huruma. Hata uchaguzi ujao wanatumia misemo ya...
Akitangaza kuhamia CCM jana January 22, Upendo Peneza amesema kuwa...
"Sasa tuna hoja nzuri sana mezani, Bungeni kuna Miswada mitatu ya Sheria ambayo inabidi ipitishwe na Bunge lakini mmesikia...
Dada anafunguka vibaya huko kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
===
Video: Mwananchi
Mwanasiasa Upendo Peneza anasema wakati anaingia CHADEMA kilikuwa chama cha kawaida kabla ya...
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI
Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema amewataka Wananchi kumlinganisha Robot Eunice wa bungeni na Robot wake aitwaye Chloe ambaye Kazi yake ni kumkaribisha
Robot wa Chadema or...
Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia, kama vijana wa nchi hii, tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo, tangu mwaka 1995 mpaka sasa, hakuna chama hata kimoja ambacho...
Mwenyekiti wa Chadema amesema Chadema haioni faida ya Demokrasia
Wapigakura wanachagua Viongozi wanaowataka lakini mifumo inaamua vinginevyo kwahiyo Viongozi hawana KIBALI cha Mungu Katika...
Wadau kama mtakumbuka Makonda alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM aliingia na mbinu ya kushangaza sana ya kwenda kwenye Maeneo ya kukutana na Wananchi kwa kutumia Mkokoteni, Trekta au...
Wakuu swalama?
Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele?
1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za...
Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano
(1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni (CHADEMA), ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kwa miaka mingi chama hicho kimekuwa...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka...
Nimejiuuliza zilipo kanuni za kusimamia uchaguzi wa serikali za mtaa. Nimezisaka mitandaoni na kwenye gazeti la serikali zijaziona.
Lakini Mzee Lipumba na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi wanasema...
Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk
Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuwa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kwahani lililopo Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar utafanyika tarehe 08 Juni, 2024.
Taarifa kwa...
Mbunge Khalifa Mohammed Issa (ACT) kutoka Jimbo la Mtambwe, Zanzibar amesema Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake. Amebainisha kuwa wanzanzibari hubaguliwa kwa uzanzibari wake na kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.