Maigizo Bungeni: Waziri Nape na viongozi wengine wakaribishwa Bungeni na Roboti Eunice

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
342
1,261
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, unafanyika.

Roboti hilo lililokuwa katika lango ya kuingia ukumbi wa Bunge na wabunge walipata nafasi ya kulisamilia na kuliuliza maswali na roboti huyo akijibu.

=====

Pia soma: Waziri wa Habari, Nape Moses Nnauye anawasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi 2024/2025, Mei 16, 2024
 
Aisee hili li dubwasha wamelitoa wapi
unaambiwa hilo dubwasha ndio limebeba Ile kompyuta ya kuendeshea mabomu ya nyuklia!,haitoshi hilo dubwasha limekonektiwa ikulu na linalinda ikulu ya Dodoma na kule dar es salaam!
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, unafanyika.

Roboti hilo lililokuwa katika lango ya kuingia ukumbi wa Bunge na wabunge walipata nafasi ya kulisamilia na kuliuliza maswali na roboti huyo akijibu.

=====

Pia soma: Waziri wa Habari, Nape Moses Nnauye anawasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi 2024/2025, Mei 16, 2024
Nchi ina ujinga mwingi Sana hii. Vizazi vijavyo vitatushangaa sana
 
Back
Top Bottom