Mbowe: Wapigakura wanachagua kiongozi wanayemtaka Mifumo inaamua Vinginevyo kuinufaisha CCM hivyo Viongozi wanakosa KIBALI cha Mungu Katika Kutawala!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,363
146,953
Mwenyekiti wa Chadema amesema Chadema haioni faida ya Demokrasia

Wapigakura wanachagua Viongozi wanaowataka lakini mifumo inaamua vinginevyo kwahiyo Viongozi hawana KIBALI cha Mungu Katika kutawala, amesema Mbowe

Nilipotoka Jela kwa kesi ya Ugaidi nilikutana na Rais Samia na akaniambia kama Taifa tuna Tatizo la Kutokuaminiana na tukakubaliana tumalize tofauti zetu Ili tutoke huko, amesisitiza mh Mbowe

Mbowe amesema hayo nchini Zanzibar Kwenye Mkutano wa TCD

Source: Mwanahalisi
 
Miaka ijayo kama hili halitarekebishwa litatuletea shida,Legality vs Legitimacy.Katika vyote Rais Samia arekebishe Katiba Tanzania nchi nzuri watawala ndiyo shida kwa sababu ya katiba mbaya.Tusije tukawa kama Kenya miaka ya 90
 
Mwenyekiti wa Chadema amesema Chadema haioni faida ya Demokrasia

Wapigakura wanachagua Viongozi wanaowataka lakini mifumo inaamua vinginevyo kwahiyo Viongozi hawana KIBALI cha Mungu Katika kutawala, amesema Mbowe

Nilipotoka Jela kwa kesi ya Ugaidi nilikutana na Rais Samia na akaniambia kama Taifa tuna Tatizo la Kutokuaminiana na tukakubaliana tumalize tofauti zetu Ili tutoke huko, amesisitiza mh Mbowe

Mbowe amesema hayo nchini Zanzibar Kwenye Mkutano wa TCD

Source: Mwanahalisi
"Nchini Zanzibar" sasa naona Munaikuza sana ili Tanganyika nayo ifufuke. kitu ambacho huko chamani kwemu wenzako hawataki...
 
Mwenyekiti wa Chadema amesema Chadema haioni faida ya Demokrasia

Wapigakura wanachagua Viongozi wanaowataka lakini mifumo inaamua vinginevyo kwahiyo Viongozi hawana KIBALI cha Mungu Katika kutawala, amesema Mbowe

Nilipotoka Jela kwa kesi ya Ugaidi nilikutana na Rais Samia na akaniambia kama Taifa tuna Tatizo la Kutokuaminiana na tukakubaliana tumalize tofauti zetu Ili tutoke huko, amesisitiza mh Mbowe

Mbowe amesema hayo nchini Zanzibar Kwenye Mkutano wa TCD

Source: Mwanahalisi
...'Nchini Zanzibar'... How?
 
Muulize Mbowe anayedai kuna Wazanzibar
Hivi, ulishawahi kufikiri kwa kutumia akili yako mwenyewe? Au wewe ni moja wa wanywa maji ya bendera ya ccm? Maana ya muungano ni nini?
Zanzibar ni nchi kamili acheni Unyerere wenu! Huna hata aibu kuwadanganya wanao juu ya uwepo wa nchi ya Zanzibar? Badilika wewe mla mbwa!
 
Back
Top Bottom