Nadhani wanajamiiforum mmeona aliyosema Tindu lissue leo mpaka TBC wakaamua kukatisha matangazo yao
Lakini inavyoonekana kuwa Tindu Lissu kaja JF kanyofoa data zote za Pasco wa JF kisha kaenda...
Ulinzi wa taifa si kulinda mipaka pekee.
Ni pia kulinda misingi inayolifanya taifa libaki taifa.
Taifa hulindwa si kwa bunduki tu, bali pia kwa:
Taasisi imara,sheria zinazoheshimiwa, mahakama...
Hakuna KUCHANA wala KUNYOA nywele mpaka Lisu aachiwe!
Wote wapiganaji kuanzia sasa mpaka hapo atakapo achiwa LISU ndiyo mtindo wa kutunza Nywele. HAKUNA KUCHANA WALA KUNYOA NYWELE KICHWANI.
Nashauri katika Yale majimbo yenye ushawishi mkubwa wa Upinzani, basi wabunge wa majimbo hayo waachie ngazi kwa kujiuzulu nafasi zao za ubunge uchaguzi ufanyike na upinzani ushinde.
Mfano: Jimbo...
The Lord is near to the brokenhearted and saves the crushed in spirit.
He gives strength to the weary and increases the power of the weak.
I urge… that petitions, prayers, intercession and...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum ameitaka Serikali ya Marekani kuwakemea maseneta wawili waliosema kuwa Tanzania si salama na kuwa baadhi ya dini...
Mbunge wa Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu akichangia hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje leo Mei 26, 2026, Bungeni Dodoma
"Ni Rais huyu Daktari Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani jambo la...
Tupo tunatazama!
Huu mpambano uendeshwe Kwa tahadhari, maana kuna watu wanaanza kuingiza agenda zisizofaa.
Gwajima ni mtu anayependa kushindana na kushinda. Kwa kushindana huchukulia kama...
CCM IMETESA SANA WATANZANIA na wamefikia mahali wanaona hawagusiki wameuwa sana watu na kusingizia watu kesi za uongo. Wanaona TUNDU LISSU ni kitisho kwao hivyo wanatafuta namna ya kumsilimisha...
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.
Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na...
EID AL ADHA MUBARAK
Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwatakia Waislam na Watanzania wote sikukuu njema ya Eid.
Tusherehekee sikukuu hii kwa...
Akihojiwa na vyombo vya habari mitandaoni, Mamluki huyo ametamba kwamba yeye ni Taasisi na ni Mkubwa kuliko Chadema.
Ikumbukwe kwamba Yericko hana Cheo chochote CHAUMA Bali ni mbeba begi wa...
TUACHE PROPAGANDA JUU YA UHAI WA WATANGANYIKA.
Hakuna Taifa linalotuonea wala kutuingilia mambo yetu ya ndani kinyume na Sheria za Kimataifa.
Yanayotupata leo yanatokana zaidi na ujinga wetu...
Bora mganga wa kienyeji kuliko Hakimu au Jaji(judge)
Hapo vip!
Kuna wosia wa huyu Mzee Lonyamali Abraham Laizer
Mzee huu ni miongoni mwa wale matajiri wa wazamani waliofanikiwa kwa nafasi yake...
Mungu wabariki Wazungu ,wabariki sana sana sana , waendelee kuwepo Hapa Duniani na wazidi kua na Nguvu !!.
Wakuu, Muda wowote tangu Sasa Marekan na Ulaya watatangaza Vikwazo dhidi ya Top...
DKT. MWIGULU ASHIRIKI MKUTANO WA NGAZI YA WAKUU WA NCHI JIJINI BRAZZAVILLE
• Rais wa Congo aufungua, ataka Afrika iwanufaishe wananchi wake
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameshiriki Mkutano wa...
Usiku wa Oct 31,2025 nilikuwa nachati na Mkuu wa Mkoa fulani ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa ule,tulikuwa tunajaribu "kudigest" kujua nini hasa kimetokea na nani hasa...
Watanzania ni kama kuku aliyekatwa kichwa ukimbia ovyo bila mwelekeo walisema Magufuli amefunga nchi amechafua nchi kimataifa kwa mauaji na utekaji.
Sasa emekuja Samia Suluhu kuja kusafisha...
Tumeshuhudia wanavyonyukana kugombea nani awe na mamlaka ya mali ya umma
Hili ni janga la Afrika ndio maana hadi leo hakuna muungano unaoeleweka
Yale yale ya ukawa na siasa za Tanzania
Bora...
Kuna rumansi zinaanzishwa na vijana wa UVCCM kuwa, kutokana na mwenyeti wa Chadema Tundu Lissu kuwa getezani kwa tuhuma za uhaini, basi inamuondolea sifa ya kuwa Mwenyekiti.
Wapo wanaoanzisha...