Sheikh Alhad Mussa: Marekani iwakemee maseneta waliosema Tanzania si salama na baadhi ya dini zinakandamizwa

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,306
Reaction score
11,683
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum ameitaka Serikali ya Marekani kuwakemea maseneta wawili waliosema kuwa Tanzania si salama na kuwa baadhi ya dini zinakandamizwa, akiongea katika mkutano wa Jumuiya hiyo na waandishi wa habari, Alhad ameitaka Serikali ya Marekani ikiri kuwa kauli hizo ni za maseneta binafsi na siyo za Serikali.

Soma Pia:
 
View attachment 3595371

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum ameitaka Serikali ya Marekani kuwakemea maseneta wawili waliosema kuwa Tanzania si salama na kuwa baadhi ya dini zinakandamizwa, akiongea katika m
Marekani? Kule Seneta ndiyo anamwonya serikali, huyu shehe vipi?
 
Huyu alomuoa kinyemela mtoto wa mufti . Mufti akiwa mecca.
Lengo lake apate upendeleo Toka kwa mufti.matokeo yake akaja kuhisi na yeye ni mufti. Akaingilia ndoa za kina Dr. Mwaka nk
Bakwata wakamwaga..Sasa hasalimiani kabisa na shekhe wa mkoa wa dar
Sasa naona anatafuta kiki anajua kitu Gani huyu shekhe
 
Huyu alomuoa kinyemela mtoto wa mufti . Mufti akiwa mecca.
Lengo lake apate upendeleo Toka kwa mufti.matokeo yake akaja kuhisi na yeye ni mufti. Akaingilia ndoa za kina Dr. Mwaka nk
Bakwata wakamwaga..Sasa hasalimiani kabisa na shekhe wa mkoa wa dar
Sasa naona anatafuta kiki anajua kitu Gani huyu shekhe
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum ameitaka Serikali ya Marekani kuwakemea maseneta wawili waliosema kuwa Tanzania si salama na kuwa baadhi ya dini zinakandamizwa, akiongea katika mkutano wa Jumuiya hiyo na waandishi wa habari, Alhad ameitaka Serikali ya Marekani ikiri kuwa kauli hizo ni za maseneta binafsi na siyo za Serikali.

Soma Pia:
Sheikh Alhad Musa is among very brilliant religious leaders in Tanzania.

Well done sheikh 👊
 
Jumuiya Ya Maridhiano Tanzania ndio kitu gani?
Shehe Mussa
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Unauhakika ulichoandika? Alipokuwa sheikh wa mkoa kasaidia nini waislam?
Uislamu uliheshimika mno dar es salaam ukilinganisha na sasa ambapo waisilamu vijana wengi wamekua wafuata mkumbo na waporomosha matusi tu mitandaoni 🐒
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum ameitaka Serikali ya Marekani kuwakemea maseneta wawili waliosema kuwa Tanzania si salama na kuwa baadhi ya dini zinakandamizwa, akiongea katika mkutano wa Jumuiya hiyo na waandishi wa habari, Alhad ameitaka Serikali ya Marekani ikiri kuwa kauli hizo ni za maseneta binafsi na siyo za Serikali.

Soma Pia:
SHEHENA
 
Huyu alomuoa kinyemela mtoto wa mufti . Mufti akiwa mecca.
Lengo lake apate upendeleo Toka kwa mufti.matokeo yake akaja kuhisi na yeye ni mufti. Akaingilia ndoa za kina Dr. Mwaka nk
Bakwata wakamwaga..Sasa hasalimiani kabisa na shekhe wa mkoa wa dar
Sasa naona anatafuta kiki anajua kitu Gani huyu shekhe
Kiki wangeenda na beat za mioyo ya waTz wanavyotaka.

Lakini kupinga kauli zilizotolewa kulaani mauaji na utekaji wa raia, watu watamuona kama mlamba matrako ya viongozi, mtu asiye na maana yoyote kwenye mtanziko tulionao kwa sasa!

Nashangaa, wanashindwaje kwenda na upepo wa mazingira hawa watu jamani?

Enhe uzungumze maneno yanayoumiza watu hasa waliofiwa na ndugu zao kutokana na ubaradhuli wa Serikali hii, umelenga kupata nini kwa matamshi yako haya ya kuchukiza wee Shehe ubwabwa?

Utakuja kuwaambia nini waTz baada ya utawala huu haramu kung'oka?
 
Back
Top Bottom