Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna vijana wengi mitaani wanasubiri ajira lakini hakuna ajira ,ili waendelee kusubiri lazma tutafute utaratibu wa kuwakopesha kwa degree ya pili hii itaondoa vijana tegemezi kwenye familia...
4 Reactions
20 Replies
164 Views
https://www.youtube.com/watch?v=vm0FWYIKQv8 Leo tarehe 12 Agosti 2026, Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inaadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya...
0 Reactions
2 Replies
70 Views
#HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad. Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo...
0 Reactions
6 Replies
83 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kukutana na Maaskofu wa Kanisa Katoliki kupitia Baraza la...
0 Reactions
5 Replies
109 Views
Waafrika ni nani aliyetuloga? Hii katiba ilipitishwa na nani? Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli? Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini? Nikitafakari naona aibu.
18 Reactions
92 Replies
991 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema matukio yaliyotokea Oktoba 29 yalihusisha watu waliohamasishwa kuingia barabarani baada ya kupewa kilevi. Katambi amesema baadhi ya...
0 Reactions
46 Replies
816 Views
kumekua na kauli za viongozi zilizojaa dharau majivuno kejeli kuhusu suala la october 29. Kuendelea kuongelea suala hili tena kwa dharau ni kuamsha hisia za victim. Sio kwamba serikali imeshinda...
2 Reactions
5 Replies
92 Views
Hii ndio maana halisi ya tonetone. Maana yake, kila mtu atoe kidogo dogo kwa kadiri ya uwezo wake. Huwezi kuamini kuwa Kuna watu wanachangia hadi TZS 100, 200, 500, 1,000 nk. Hakuna anayetoa...
10 Reactions
21 Replies
233 Views
MAMBO 7 NILIYOJIFUNZA KUPITIA MAANDAMANO YA 29 OKTOBA 2025 Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. HASIRA ZA WANANCHI PEKEE HAZITOSHI KUANGUSHA SERIKALI. Maandamano yanaweza kuonyesha ukubwa wa...
0 Reactions
3 Replies
64 Views
Wakili Peter Madeleka, amesisitiza kuwa udhibiti wa haki za kimsingi nchini haupaswi kuangaziwa kwa jicho la kisiasa au vyama, bali kama suala la kitaifa linalogusa kila mwananchi na Katiba ya...
0 Reactions
6 Replies
64 Views
Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Tanzania tulipogundua gesi asili, tukakimbilia kugawa vitalu vya gesi kwa makampuni ya kibeberu, nikaandika makala jinsi gesi asili...
3 Reactions
16 Replies
247 Views
================= Tumuulize Bwana Kamusi tujue exactly maana ya neno "nyukua" na mnyambuliko wake... Na hii ndiyo maana yake... NYUKUA: Ni kitenzi cha Kiswahili kinachomaanisha kufinya...
3 Reactions
16 Replies
441 Views
Najaribu kutafakari namna ya kutoka na picha kubwa kwenye falsafa za 4R za Rais Samia. Kwa kuwa falsafa hizo zimejikita zaidi katika misingi ya siasa bora na demokrasia, Je sio vema zikajumuishwa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwanza, Ninampongeza Waziri mkuu kwa kutatua mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo uliodumu kwa siku 3 mfufulizo. Katikati ya mgomo huo mpaka kutatuliwa kwake tumeona na kusikia mengi hususani...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwako Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote natanguliza shukrani kwa Mwenyezi Mungu kutujalia afya njema na kutoa pole nyingi kwa wote waliopoteza Ndugu, jamaa na marafiki kutokana...
1 Reactions
19 Replies
518 Views
Kwako Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe.Rais, kwa namna ya pekee pekee ninapenda kuchukua nafasi kukupongeza kwa kuwa kielelezo...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakili Peter Madeleka ametoa wito wa kufutwa kwa kesi za ugaidi zinazoendelea katika mahakama mbalimbali nchini, akieleza kuwa hazina msingi wa kisheria iwapo hakuna vitendo halisi vya ugaidi...
1 Reactions
1 Replies
63 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huyu Padri Ameonyesha waziwazi kuwa na chuki binafsi na Rais wetu Mpendwa,ameonyesha tangia awali kuwa na kinyongo na utawala huu, ameonyesha kuwa na dharau na maneno ya...
5 Reactions
249 Replies
5K Views
Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji...
1 Reactions
1 Replies
66 Views
  • Redirect
Alafu, Mjizuie Kuongea Utumbo , mnawapa Vijana Hasira . Ni lazima mkubali, CCM haikuwahi kujiandaa namna gan itadeal na Vijana wenye ELIMU na Uelewa !! Hizi sio nyakati za kupayuka payuka Ovyo...
10 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…