Katika hili sakata la kitita cha Mafao ya matibabu nichangie kwa kuanza kusema.
Afya ni siasa, Afya ni Biashara na Afya ni Maisha
Hakuna ubishi kuwa Serikali inapaswa kushirikiana na watoa...
MSIMAMO WA WIZARA YA AFYA KUHUSU MABORESHO YA KITITA NHIF 2023.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amevielekeza Vituo Binafsi vilivyoingia mkataba na NHIF Kuzingatia masharti ya Mikataba yao...
MBUNGE ZUBEIDA SHAIB Atembelea Miradi ya Elimu ya Jimbo la Mfenesini
Mbunge wa Jimbo la Mfenesini, Mhe. Zubeida Khamis Shaib amefanya ziara katika kukagua miradi ya elimu ya madarasa...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, hiki ndio kipindi cha kufanya tafakari za sifa za mgombea anayefaa na asiyefaa kuchaguliwa kuwa kiongozi.
Wakati wa kampeni ukianza...
Rejea kichwa cha habari. Kwangu mini marehemu mzee wetu Ally Hassan Meinyi ndiye rais peke ambaye alistafu kiuhalisia na kuacha wengine waongoze nchi kwelikweli.
Ukiachia yeye wengine wamekuwa...
Viongozi wa Tanzania , kama walivyo viongozi wengi wa Kiafrika huamini kwamba wana akili nyingi sana na pia wanadhani uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa kuliko Mtanzania yeyote yule
Imani yao hii ya...
Wakuu,
Ni kwamba "Wanyonge" ndio jina tulilokubali kuitwa na kuliishi hatuwezi kabisa kutoka humo hata tufanyiwe aina yoyote ya upuuzi hatutafanya kitu? Tunamuachia Mungu?
Tunalipia huduma hizi...
Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka:
1. Waziri wa afya na Naibu wake.
2. Waziri wa fedha
3. Waziri wa Tamisemi
4. Waziri wa Nishati (Doto)
5. Waziri wa...
Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini.
Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa...
Maandamano yaliyofanyika kwenye majiji yalikuwa ya kumtahadharisha Rais asisaini uchafu uliopo mezani pake kuwa sheria, lakini kumkumbusha pia kuwa huko mtaani watu wanateseka kwa maisha magumu...
Habari zenu ndugu zang, ama baada ya salam ningependa kuwaombea heri ya mwaka mpya. Ndugu watanzania wenzangu, historia yetu inatuambia kuwa baba wa Taifa mwl J.K. Nyerere aliiongoza nchi yetu kwa...
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania Chadema kimedai hali ya Maisha ni ngumu sana kwa Wananchi kumudu.
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD anasema maisha ni mazuri ndio sababu Magari mapya ni...
Hivi Karibuni tumesikia sera nzuri ya bima kwa wote Ila ikiwa na Changamoto kubwa ya utekelezaji
Mkakati wa kwanza iliatakiwa kuumarisha kwanza mfuko wa NHIF
Mpaka Sasa tumeshasikia tamko la...
Ndugu zangu Watanzania,
Baadhi ya watanzania wanyonge wamempigia magoti Mh. Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa wakimuomba kwa unyenyekevu, upendo na heshima kubwa aweze...
SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI...
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa...
Kifungu Cha 8(1) Cha Leaders Funeral Act No. 10 of 2002 Zanzibar kinasema Rais wa Zanzibar atatangaza kifo Cha kiongozi mzanzibar na Bendera kupepea nusu mlingoti. Iwapo Tanzania hawataunga mkono...