Baadhi ya Watanzania wanyonge maeneo mbalimbali wampigia magoti Paul Makonda kumuomba arejee mitaani kuendelea na ziara

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,311
9,740
Ndugu zangu Watanzania,

Baadhi ya watanzania wanyonge wamempigia magoti Mh. Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa wakimuomba kwa unyenyekevu, upendo na heshima kubwa aweze kurejea mitaani kuendelea na ziara zake za kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM Pamoja na kusikiliza na kutatua kero na changamoto mbalimbali papo kwa papo.

Wameendelea kusema kuwa uwepo wa Mh Makonda na kupita kwake katika maeneo mbalimbali nchini kumeleta matokeo chanya na makubwa sana, wanasema kuna maeneo watu walikuwa ni kama wanafanya kazi kwa mazoea, wengine kufanya ofisi za umma kama mali binafsi, wengine kujiona kama miungu watu, wengine kuwachukulia wananchi kama si chochote, wengine kutoa majibu na kauli zisizo za kiungwana na heshima kwa wananchi wanaofika katika ofisi zao, wengine kutengeneza mazingira ya rushwa katika kutoa huduma.

Wanasema hawa wachache waliokuwa wanaharibu taswira nzuri ya serikali ya Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama samia Suluhu Hasssan kwa sasa wamebadilika sana kitabia, kwa sasa wanawasikiliza wananchi, wana waheshimu, wanawahudumia na kuwapokea vizuri, wanatoka maofisini kwenda kusikiliza kero za wananchi mitaani huko, wanatoa lugha nzuri na kuwa wasikivu ufikapo katika ofisi za umma na wanatambua kuwa wananchi ndio wenye nchi na ndio wanaopaswa kusikilizwa wanataka nini, wana shida ipi na nini kinawasumbua.

Wanasema viongozi wale wachache waliokuwa wanafanya kazi kwa mazoea na kuwa kama wamejisahau kwa sasa wameacha tabia hiyo, wamebadilika, wamejifunza, wanatambua sasa cheo ni dhamana, ofisi za umma ni mali ya umma, wananchi ndio walioiweka serikali madarakani na inapaswa kufanya kwa kazi kwa ajili ya watu wote bila kujali tofauti za itikadi za kisiasa kwa kuwa mahitaji yao, kuhudumiwa kwao na mishahara yao inatokana na malipo ya kodi za watanzania wote.

Wananchi wanasema kuwa sasa wana matumaini makubwa ya kusaidiwa shida zao waendapo katika ofisi za umma ,wana matumaini na imani ya kupata msaada bila kujali hali zao za kiuchumi.

Lakini pamoja na kubadilika huku kwa watumishi wa umma waliokuwa wakifanya Kazi kwa kusua sua na kwa mazoea, bado wapo wachache ambao ni kama wapo bado usingizini, ni kama bado hawajatambua mishahara yao inatokana na kodi za wananchi, ni kama bado wanaona ofisi za umma ni mali zao binafsi wanazoweza kuzitumia watakavyo wao, wapo ambao wamekuwa na ucheleweshaji mkubwa sana katika kutatua kero za watu na kutoa majibu na suluhisho kwa watu na hivyo kuchelewesha haki za watu kwa wenye kustahili kupata haki.

Hivyo wanamuomba Mh Makonda ambaye yeye yupo kwa niaba ya chama ambacho ndio mdomo wa wananchi na sauti yao na ambacho ndio kilichopewa kura za kukiwezesha kuunda serikali, aweze kurejea mitaani na kuendelea na ziara zake ili apate kusikia nini wananchi wangependa wamwambie ili apeleke serikalini, lakini pia wanamshukuru kwa kuwa ziara zake zimekuwa zikiwaamsha walio lala maofisini na kujisahau. Hivyo wanamuomba sana kwa magoti ya unyenyekevu arejee kuendelea na ziara zake.

Mwisho wanampongeza sana Rais wao mpendwa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hasssan kwa kuendelea kufanya kazi kwa bidii katika kutatua changamoto mbalimbali pamoja na kuleta matumaini katika maisha ya watanzania. Wanampongeza sana Mama yao kwa kupunguza mgao wa umeme kwa 85% na hivyo kumulika na kuangaza maisha ya watanzania, wanashukuru kwa kuondoa giza katika mioyo yao na kazi zao na sasa wanafanya kazi na kutembea katika nuru na mwanga huku wakijiamini.

Wanawapongeza viongozi wote serikalini wanaoendelea kumsaidia Mh. Rais katika kutekeleza ilani ya CCM, wanawapongeza viongozi wote wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama na kuwawezesha wananchi kufanya kazi muda wote usiku na mchana bila hofu yoyote ile.

Wanaendelea kumuombea afya njema Mh. Rais na kumtakia kila lenye heri katika majukumu yake. Wanawaomba viongozi wengine wote kuendelea kufanya kazi kwa kujituma na kujitolea. Wananchi wanasema wataendelea kuwa wenye subira na uvumilivu kwa serikali yao pale itakapokijokeza changamoto yoyote ile mbele yetu kama Taifa kwa kuwa wana imani kubwa sana na serikali ya Rais Samia.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
IMG-20240202-WA0004.jpg
IMG-20240222-WA0051.jpg
IMG-20240207-WA0039.jpg
IMG-20240206-WA0027.jpg
 
Mkuu hawa ni zaidi ya mamilioni, yaani nimeamka, kufika pale dukani nimekuta mangi amepiga magoti tayari, kituoni nimekuta mateja na baadhi ya abiria wamepiga magoti wakimlilia arudi, cha ajabu mpaka kwenye daladala watu wameacha seat wamepiga wagoti wakimlilia arudi yaani ni vilio vilio tu kila mahali, sijapata kuona.
 
Tangu lini kuwa Wanyonge ikawa ni complementary? Tuna akili kisosi. Na hawa wanyonge kama wapo ni Zao la Nani kama sio CCM?

Pumbavu zenu
Acha hasira zako hapa wewe.watanzania wanafahamu kuwa ni CCM Pekee ndio kimbilio lao kwa chochote kile kinachowasumbua .hao wengine kama CHADEMA wanajulikana kwa udalali wao wa siasa.ndio maana wanapuuzwa na watanzania
 
Umesahau kuweka Namba yako ya simu

Halafu kwanini unajisikia fahari kuita wenzio Wanyonge?

Huyo makonda anaropoka bila mipaka akajifunze kwanza adabu na hekima
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Makonda kiongozi wetu mchapa kazi,mwenye huruma,upendo ,hekima, busara na ujasiri wa hali ya juu sana katika kuwatetea na kuwasemea wasio na sauti.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Baadhi ya watanzania wanyonge wamempigia magoti Mh. Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa wakimuomba kwa unyenyekevu, upendo na heshima kubwa aweze kurejea mitaani kuendelea na ziara zake za kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM Pamoja na kusikiliza na kutatua kero na changamoto mbalimbali papo kwa papo.

Wameendelea kusema kuwa uwepo wa Mh Makonda na kupita kwake katika maeneo mbalimbali nchini kumeleta matokeo chanya na makubwa sana, wanasema kuna maeneo watu walikuwa ni kama wanafanya kazi kwa mazoea, wengine kufanya ofisi za umma kama mali binafsi, wengine kujiona kama miungu watu, wengine kuwachukulia wananchi kama si chochote, wengine kutoa majibu na kauli zisizo za kiungwana na heshima kwa wananchi wanaofika katika ofisi zao, wengine kutengeneza mazingira ya rushwa katika kutoa huduma.

Wanasema hawa wachache waliokuwa wanaharibu taswira nzuri ya serikali ya Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama samia Suluhu Hasssan kwa sasa wamebadilika sana kitabia, kwa sasa wanawasikiliza wananchi, wana waheshimu, wanawahudumia na kuwapokea vizuri, wanatoka maofisini kwenda kusikiliza kero za wananchi mitaani huko, wanatoa lugha nzuri na kuwa wasikivu ufikapo katika ofisi za umma na wanatambua kuwa wananchi ndio wenye nchi na ndio wanaopaswa kusikilizwa wanataka nini, wana shida ipi na nini kinawasumbua.

Wanasema viongozi wale wachache waliokuwa wanafanya kazi kwa mazoea na kuwa kama wamejisahau kwa sasa wameacha tabia hiyo, wamebadilika, wamejifunza, wanatambua sasa cheo ni dhamana, ofisi za umma ni mali ya umma, wananchi ndio walioiweka serikali madarakani na inapaswa kufanya kwa kazi kwa ajili ya watu wote bila kujali tofauti za itikadi za kisiasa kwa kuwa mahitaji yao, kuhudumiwa kwao na mishahara yao inatokana na malipo ya kodi za watanzania wote.

Wananchi wanasema kuwa sasa wana matumaini makubwa ya kusaidiwa shida zao waendapo katika ofisi za umma ,wana matumaini na imani ya kupata msaada bila kujali hali zao za kiuchumi.

Lakini pamoja na kubadilika huku kwa watumishi wa umma waliokuwa wakifanya Kazi kwa kusua sua na kwa mazoea, bado wapo wachache ambao ni kama wapo bado usingizini, ni kama bado hawajatambua mishahara yao inatokana na kodi za wananchi, ni kama bado wanaona ofisi za umma ni mali zao binafsi wanazoweza kuzitumia watakavyo wao, wapo ambao wamekuwa na ucheleweshaji mkubwa sana katika kutatua kero za watu na kutoa majibu na suluhisho kwa watu na hivyo kuchelewesha haki za watu kwa wenye kustahili kupata haki.

Hivyo wanamuomba Mh Makonda ambaye yeye yupo kwa niaba ya chama ambacho ndio mdomo wa wananchi na sauti yao na ambacho ndio kilichopewa kura za kukiwezesha kuunda serikali, aweze kurejea mitaani na kuendelea na ziara zake ili apate kusikia nini wananchi wangependa wamwambie ili apeleke serikalini, lakini pia wanamshukuru kwa kuwa ziara zake zimekuwa zikiwaamsha walio lala maofisini na kujisahau. Hivyo wanamuomba sana kwa magoti ya unyenyekevu arejee kuendelea na ziara zake.

Mwisho wanampongeza sana Rais wao mpendwa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hasssan kwa kuendelea kufanya kazi kwa bidii katika kutatua changamoto mbalimbali pamoja na kuleta matumaini katika maisha ya watanzania. Wanampongeza sana Mama yao kwa kupunguza mgao wa umeme kwa 85% na hivyo kumulika na kuangaza maisha ya watanzania, wanashukuru kwa kuondoa giza katika mioyo yao na kazi zao na sasa wanafanya kazi na kutembea katika nuru na mwanga huku wakijiamini.

Wanawapongeza viongozi wote serikalini wanaoendelea kumsaidia Mh. Rais katika kutekeleza ilani ya CCM, wanawapongeza viongozi wote wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama na kuwawezesha wananchi kufanya kazi muda wote usiku na mchana bila hofu yoyote ile.

Wanaendelea kumuombea afya njema Mh. Rais na kumtakia kila lenye heri katika majukumu yake. Wanawaomba viongozi wengine wote kuendelea kufanya kazi kwa kujituma na kujitolea. Wananchi wanasema wataendelea kuwa wenye subira na uvumilivu kwa serikali yao pale itakapokijokeza changamoto yoyote ile mbele yetu kama Taifa kwa kuwa wana imani kubwa sana na serikali ya Rais Samia.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
View attachment 2916699View attachment 2916700View attachment 2916701View attachment 2916703
Mfariji wa wa wenye shida, Tumaini la wanyonnge, Dawa ya dana dana za wapigaji, Suluhu ya wasumbuliwao na walio zoea kazi serikalini 🐒

viva Muenezi viva...

usiwaache pekeyao, wanakulilia wanakuhitaji mtetezi wao..
 
Mwashambwa wewe ni mshamba. Hayo matatizo anayotatua Mkonda yametengenezwa na serikali ya chama gani? Kwanini na wewe usiende kuwasaidia viongozi wako wa chama chako CCM kutatua kero za wananchi kama Makonda anavyofanya? Wewe, mwanaume mzima, kutwa kuchwa kazi yako ni uchawi tu, ni kuwasifia viongozi tu as if miungu watu. Shida zinaongezeka baada ya wewe kutumia jukwaa lako kukemea uzembe wa hao viongozi, then unawasifia kuwa ni bora. Manafiki sana wewe, mwanaume, haufai kabisa kuwa hata hapa jamii forum. Kila kukicha ni kusifia tu... Haufai.
 
Nyumbu wa CHADEMA wakisikia jina Makonda wanapata kizunguzungu ,maana wanafahamu namna anavyokubalika na namna alivyowasambaratisha mitaani kwa hoja nzito nzito.
 
Mwashambwa wewe ni mshamba. Hayo matatizo anayotatua Mkonda yametengenezwa na serikali ya chama gani? Kwanini na wewe usiende kuwasaidia viongozi wako wa chama chako CCM kutatua kero za wananchi kama Makonda anavyofanya? Wewe, mwanaume mzima, kutwa kuchwa kazi yako ni uchawi tu, ni kuwasifia viongozi tu as if miungu watu. Shida zinaongezeka baada ya wewe kutumia jukwaa lako kukemea uzembe wa hao viongozi, then unawasifia kuwa ni bora. Manafiki sana wewe, mwanaume, haufai kabisa kuwa hata hapa jamii forum. Kila kukicha ni kusifia tu... Haufai.
Nani kakwambia matatizo katika nchi huwa yanakwisha kama ukungu wa mlimani? Marekani tu yenyewe iliyopata uhuru mwaka 1776 bado inahangaika na matatizo mbalimbali yanayowakabili wamarekani ikiwepo masuala ya gharama kubwa ya matibabu,ukosefu wa ajira, n.k. sasa iweje Tanzania iliyopata uhuru wake 1961 isiwe na matatizo? Kwani wewe hapo kwako huna matatizo ? Lakini si unaendelea kupambana kila siku?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom