Mwanasheria mkuu wa serikali ambaye pia ki-cheo ni Jaji, yaani alikuwa mwendesha mashitaka mkuu wa Serikali[DPP],ELIEZA FELESHI akateuliwa na Magufuli kuwa Jaji lakini sijui alionekanaje kwenye...
Nakupa dokezo.
Yote yaliyotokea wiki jana na yanayoendelea huku mkuu akiwa kimya, ni kwamba anayetafutwa ni Bashe.
Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na...
CCM YAENDELEA KUVUTIA WAWEKEZAJI MKOA KAGERA.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Kagera, ndugu Nazir M. Karamagi amesema Chama Cha Mapinduzi kitaisimamia Serikali kuhakikisha inaendelea...
Siku ya Jumamosi ya tarehe 21 iliandikwa historia ya kunyesha mvua isiyo ya kawaida iliyosababisha maafa makubwa sana. Pamoja na maeneo mengine, jimbo la Kawe liliguswa vibaya sana na mvua hizi...
Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa.
---
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia...
Ukiwa kama mpinzani au mtu asiye na chama lakini haukikubali chama cha CCM ni mtu gani wa CCM akiwekwa kugombea urais utampigia kura kwa maslahi mapana ya nchi?
Ukiwa kama mwana CCM kindakindaki...
Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao...
Haya ni maajabu, kila mtu anaibuka nakutoa tamko lake kwa niaba ya serikali utadhani hawa ni wapinzani wa makundi mawili;
Wagagagigikoko VS Watupori.
Kweli hawa hamna kitu!
Sent from my SM-A125F...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27...
TOP-TIER CABINET FOR 2026.
1. President of URT Samia Suluhu Hassan.
2. Vice President Philip Isdor Mpango.
3. Prime Minister Paul Christian Makonda.
4. Attorney General Palamagamba John Aidan...
Mkurugenzi mkuu wa LATRA unataka tutumie lugha ipi ili uelewe kuwa abiria tunaosafiri kutoka Arusha mjini kwenda Kikatiti ja King'ori tunashushwa Maji ya Chai wakati magari yana vibao vimeandikwa...
Moja ya mwananchi wilaya ya kakonko mkoa wa kigoma alilalamikia mbele ya mwenezi kwamba alijenga shule na baada ya kujenga shule hiyo mkurugenzi WA wilaya hiyo alimpa pesa kiduchu tofauti na...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwanasheria Mkuu wa serikali Mheshimiwa Dkt Fereshi siku ya leo mbele ya mgeni rasmi Mheshimiwa Rais Dkt Samia amesema kuwa ameshitushwa sana na utitiri wa watu...
Usemi kwamba "adui yako mwombese njaa" una mantiki kubwa sana. Hakuna mbabe wa njaa.
Nani alitarajia kuwa Halima Mdee angepingana na Mwenyekiti wa Chama kilichomlea kisiasa hadi kuwa maarufu...
Jana, katika pita pita yangu mitandaoni, nimekutana na clip yenye tafsiri ya neno Tanganyika.
Tanganyika ni neno la Kichapu likimaanisha nchi yenye rutuba.
Kwa uelewa wangu, rutuba inaashiria...
Wabunge tuliochaguliwa na Shujaa Magufuli 2020 wameonesha Uwezo mdogo Sana hadi sasa
Hawawezi kutetea lolote kuhusu Wananchi
Nimwombe mwenyekiti mh Dr Samia na Wasaidizi wake Chamani Mzee...
Tunamshukuru Mungu kwa kukutunuku nafasi hiyo, kama ulivyosema mwenyewe " uliluzukiwa" na kweli it was not easy for you kukalia kiti hicho kwa sababu imani ya walio wengi kwa kuangalia wanawake...
Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika, ni aibu kubwa na kukosa nidhamu kwa kiwango cha juu kama mtu ukishindwa kutimiza ahadi yako mwenyewe, uliyoitoa kwa hiari yako mwenyewe bila ya...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema katika Ibara ya 1 inaeleza wazi kuwa Tanzania ni Nchi Moja na ni Jamhuri ya Muungano. Katika Ibara ya 2 (1) Katiba hiyo inaeleza wazi kuwa eneo la...