Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la kufuatilia mambo ya Rushwa Transparent International Tanzania imeendeleq kufanya vizuri ambako Kwa Afrika Mashariki imetanguliwa na Rwanda pekee.
---
How EAC...
Hii tabia ya viongozi wa serikali au wasimamizi wa mashirika ya umma katika miradi ya serikali kutoa tarehe za kuanza au kukamilika kwa miradi zisizo na uhalisia hata kidogo ni kiashiria kikubwa...
Pita pita na mikiki mikiki ya Makonda Kila kukicha ni kuivua uchi serikali ya Chama chake. Ni kama huko ndani ya serikali ni uonevu na dharau dhidi ya kada ya chini. Malalamiko ya wananchi ni...
Hizi hapa dondoo 15 muhimu za kuzingatia dhidi ya propaganda hasi kwa bandari ya DSM
1. Magati yote 12 pamoja na maeneo ya kuhudumia shehena za mafuta yanahudumia meli hadi kufikia muda huu wa...
Mbunge wa Nzega vijijini Kigwangalla ameandika kwenye ukurasa wake twitani kwamba, Tulionewa Tulisimangwa, Tulisingiziwa na Kunyanyaswa na watu waliokuwa na access lakini sasa mambo yao yako wazi...
Mh rais Samia,sisi wana ccm tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za...
Kama waliochanjwa wakachomwa na busta juu bado wanaambukizwa corona kazi ya chanjo ni nini? Ndiyo swali la Gwajima.
Watanzania zaidi ya millioni 50 hawajachanja lakini Corona Omicroni imewaruka na...
Mkuu wa Wilaya ya Chato, Bi. Matha Mkupasi amemuagiza Mwenyekiti wa Kijiji kitela kata ya Chato kuhakikisha anaitisha vikao mara moja pamoja na wananchi ili kukomesha vitendo vya kishirikina...
Serikali Kujenga Ukuta Nungwi Kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi
Serikali imesema imeanza hatua za kujenga ukuta katika eneo la Nungwi Zanzibar kwa ajili ya kusaidia kuzuia maji ya...
Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini - Viwanja vya Chinangali - Dodoma leo tarehe 01 Februari, 2024...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Kile Chama cha siasa kinachoungwa mkono na Wananchi wengi zaidi kuliko chama chochote Nchini Tanzania, kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya...
Naibu Waziri wa Nishati ameliambia bunge kuwa Majaribio ya uzalishaji Umeme kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere utakamilika tarehe 16 mwezi huu na hapo hali ya Umeme nchini itatengamaa
Naibu Waziri...
2025 tukienda na mama, umeme si ndo utakuwa wa Ikulu peke yake
CCM mnataka 2025 twende na mama, atupeleke wapi kusikojulikana? Tangu amekuwepo hapo, tumepoteza vingapi na bado mnataka aongoze...
Akifanya mahojiano na Edwin Odemba, Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema amejibu swali kuhusu kudaiwa Mkopo na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa...
Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .
Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa...
Malezi ya mtoto mchanga yanahitaji uangalizi mkubwa sana wa mama yake! Nashangaa serikali mnasisitiza mtoto asipewe maji wala uji ndani ya miez 6! yaani awe anashindia maziwa ya mama tu!
Nyinyi...
Upo msemo unaosema kuwa ili ndoa iweze kudumu kwa muda mrefu, mke usishike simu ya mme wako, na Mme usishike simu ya Mke wako.
Lakini kwa watu wengine Mke au Mme hushika na kuperuzi simu za wenza...
Nimefuatilia mijadala Bungeni kuhusu Sheria za Uchaguzi. Nilitegemea kusikia ushauri, maoni yaliyotolewa na wadau wote yakijadiliwa moja baada ya moja lakini cha kushangaza Wabunge wengi...
Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati,
Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana!
Nawasemea vijana lukuki wa...