Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,169
- 29,876
Sasa hivi mambo muhimu au matukiomuhimu yanaundiwa Tume.
Tume hizi tumeona hazina connection na wananchi wala haziwajibiki kwa wananchi.
Zinawajibika kwa walioziteua.
TUME ni mpango maalum wa kufunika kombe wanaharamu wapite.
Serikali ambayo ina Katiba, ina wateule wa kusimamia Katiba, na watu wamekalia viti kutazama wapi Katiba inafanya kazi yake usiku na mchana , TUME ya NINI?
Hapo ndio ntunaona mambo yanafukizwa , yana fichwa na TUME hizi wala wananchi hawapati kile kilichomo na mwisho wananchi wanaona mambo ni yale yale, hakuna jipya.
Kwa Sheria, Taratibu na miundo ya Utawala zilizomo katika Katiba yetu, kuna watu wateule wameshindwa, wameogopa, au hata wanatishwa na kutokufanya kazi zao.
TUME ndio muarobaini, hakuna wa kulaumiwa!!!
TUME zilizokithiri ni dalili ya serikali kushindwa majukumu yake ya wazi.
MEANWHILE
Kero za wananchi, malalamiko, yako pale pale!!