Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Ule mfufulizo wa kipindi cha KMT, kinaendelea Channel Ten kila siku za Jumapili saa 3:00 za usiku na marudio ni kila siku za Jumatano Saa 9:30 Alasiri. Kipindi cha Wiki Hii, Jumapili...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Wakati wa 'zama zilizotimu' ulinitafuta sana na ukataka kuonana nami lakini ukaishia kuonana na 'itifaki ya Askofu' iliyokueleza mazingira ya Askofu, uliridhika ila juhudi zako za kumtafuta Askofu...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuhusu huu uchaguzi wengi wametoa maoni isipokuwa mimi. Uchaguzi huyu unaonyesha ishara ya kuwa tofauti kidogo na uchaguzi uliopita.Ukawa wanaleta ushindani mkubwa. Makada wengi wamekihama chama...
8 Reactions
70 Replies
10K Views
Paul Mkaonda aendeleza moto wa kuwashughulikia Watendaji wababaishaji. Zamu hii amemtimua kwenye Mkutano Mkurugenzi Mtendaji wa Nkasi Baada ya Wananchi wengi Kumlalamikia Kwa madai mbalimbali...
6 Reactions
65 Replies
5K Views
Ninaomba BBC iandae mdahalo wa masaa 3 Kwa wagombea wote wa Urais bila kuwakilishwa wasimamishwe kwenye mdahalo live KABLA hawajachukua fomu za kugombea Urais. Kuna wengine wanatumia watu...
1 Reactions
4 Replies
902 Views
Godbless Lema akizungumza kupitia Star TV amezungumzia kuhusu kauli ya CDF kuhusu Wakimbizi kadhaa kudaiwa kupewa ajira Serikalini na wengine kuteuliwa Serikalini katika nafasi za juu.
15 Reactions
73 Replies
9K Views
Kwanini CDF atoe ushauri kuhusu suala hili kwa mhe rais hadaharani? Kuna mtu anatafutwa kisiasa? Ndiyo! Kuna mfukunyuku amenipa hint kwamba yule mtu wa watu ambaye mara nyingi hupata ajali za...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Yaani kweli hii ndo wanaona issue ya msingi kwa Watanzania? Hawa watu wanalipwaje hizi kodi kufanya mambo ya hovyo kama haya? 📍Bungeni,Dodoma ▪️SERIKALI KUANZISHA SOMO LA UCHAMBUZI WA MICHEZO...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao...
6 Reactions
180 Replies
12K Views
Spika Tulia kaiva sana kwenye suala kutafiri Sheria, naangalia hapa Bunge live wanapitisha muswada wa tume ya uchaguzi naona anamtoa knout mpaka AG huyu dada ni balaa wabunge wote wanampigia...
6 Reactions
98 Replies
6K Views
Ujumbe wa DC Njombe kissagwakisakasongwa kuhusu VanillaNjombe 📍Serikali bado inafanyia kazi maswali mengi yaliyopo katika jamii kutokana na matangazo kwamba Vanilla inalipa na bei ya manunuzi ya...
28 Reactions
290 Replies
31K Views
Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba Nchini Tanzania , hakuna chama cha siasa kinachoweza kuizidi CHADEMA kwa wanachama (Pitieni tovuti ya CHADEMA DIGITAL) sasa hapa chini ni Mkutano...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Laana ya Mwenyezi Mungu IPO juu ya CHADEMA, imetawala katika vinywa na midomo ya viongozi wa chadema,Ni laana kutoka ofisi za chadema Hadi katika vichwa vya viongozi wake...
3 Reactions
93 Replies
4K Views
Kwa sababu kama Waongoza Maandamano watakuwa ni hao hao Mwanza, Mbeya na Arusha basi sisi wa Mikoa mingine tufungiwe big screen tuweze kufuatilia Ila kama Viongozi wa Chadema mikoani ndio...
0 Reactions
6 Replies
542 Views
Makonda ndio amegeuka mkusanya kero za wananchi kuliko watendaji kama wakuu za mikoa, madc na watendaji wa kata. Makonda amegeuka kuwa mtendaji? Anazunguka nchi nzima msafara mrefu. Anatumia...
1 Reactions
5 Replies
720 Views
LIPA ADA YAKO YA UWANACHAMA KUPITIA MITANDAO YA SIMU: Fahamu namna ya kulipa Ada ya Uanachama wa CCM na jumuiya zake kupitia mitandao ya simu. Ili kutimiza wajibu wa kikatiba wa kulipa Ada, ewe...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Andiko la mwisho la Ole Mushi hebu lipitie👇🏿 UKOLONI UNARUDI TANZANIA? Na Thadei Ole Mushi. Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe. Migodi tumeitoa kwa...
18 Reactions
56 Replies
10K Views
Bunge letu ni fake na halitoi majibu Serikali haiko serious kutatua matatizo ya wananchi. Katiba ni mfano! Wamebaki kisiasa kila kitu. Hakuna maridhiano ya maana yenye nia ya kuendeleza nchi...
3 Reactions
6 Replies
537 Views
https://www.cnbc.com/2024/02/05/bill-gates-backed-miner-discovers-large-scale-copper-deposit-in-zambia.html
0 Reactions
1 Replies
365 Views
Siasa za Bongo Safi sana yaani Ukiona mtu anaumia au kufa kwa hizi Siasa ujue Huyo ni bwege mtozeni Leo DC wa zamani huko Hai amemtambulisha baba mkwe wake Mzee Nassari Kanisani Eberneza mkoani...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…