Watawala wanazunguka sana, wanahangaika sana. Kwa muda mrefu Katiba yetu imekua ikitoa kinga kwa rais aliyemaliza muda wake kuja kushitakiwa kwa makosa aliyoyafanya alipokua madarakani.
Kinga...
Kwa wachache tuliobarikiwa kuielewa vizuri nchi hii na jamii yake pamoja na siasa zake tunaposimamia jambo kwa maslahi ya taifa naomba tuheshimiwe na tueleweke vizuri.
Kwa miezi 2 sasa kuna...
Haya kama mnaweza njooni muutengue na huu Ubalozi wa Kutukuka aliopewa na Rais wa Jamhuri ya wana JamiiForums wote duniani GENTAMYCINE.
Kumpiga Teke Chura ni Kumuongezea mwendo hivyo mmemjenga...
Sijui Kiswahili chake fasaha kama ni haiba au hulka, au silka, n.k, ila waliotuletea vitabu wanaiita TEMPERAMENT.
Kuna faida kujifahamu na kuwafahamu wengine. Kutakusaidia kuweza kushirikiana na...
Moto wa petroli una tabia kuu moja, unapoumwagia maji ili kuuzima unaibukia pembeni tena kwa nguvu zaidi ya ule wa mwanzo tena una tabia ya kulipuka.
Deusdedith Soka kijana aliyeandamana kupinga...
Nikiwa mdau wa biashara inayotumia dola kwa malipo mbalimbali, nimekuwa mhanga wa upotevu wa dollar. Leo imenibidi nieleze niliyoyaona.
Unaweza fika bureau change, na Kuna watu wengi...
Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi.
Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika...
"The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotolewa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi...
Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.
Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.
Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe...
Serikali iache kuwachekea wafanyabiashara wa petrol. Kama vipi wanyanganyeni leseni ijulikane Moja. Suala la ukosefu wa Petrol linajirudia mara Kwa mara huku Serikali ikikaa kimya.
Matokeo yake...
Songombingo la kuvuliwa hadhi ya Ubalozi wa Dkt. Slaa, lilianzia pale kwenye kuvujishwa kwa mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea duniani, wa DPWORD na TPA kuhusu bandari za Tanganyika
Kama...
TFF: Waziri Dkt. Ndumbaro hajafungiwa
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesema kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro alishinda rufaa ya adhabu ya kufungiwa...
M. M. Mwanakijiji
KUNA vitu sielewi; nimejaribu kuvielewa lakini vimenishinda; na vipo vingine ambavyo japo kwa wengine vinaeleweka kirahisi, kwangu vimekuwa vigumu kweli kweli. Inawezekana nina...
Huduma zimekwama kwenye halmashauri, wenyeviti wa vijiji viongozi wa kata hadi wilaya wapo ofisini hakuna anayekwenda kutatua kero za wananchi. Viongozi wengi wa vijiji awakuchaguliwa na wananchi...
Yaani kwa uteuzi wa naibu waziri mkuu inaonesha kua waziri mkuu amepwaya hvyo anahitaji msaidizi. Sasa swali langu ni je kupwaya huko ni kutokana na majukumu kua mengi?
Ni je kutokana na ufanisi...
Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula ni Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na pia ndiye Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani (World...