Rais Samia anajaribu kuzima moto wa petrol kwa maji

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Moto wa petroli una tabia kuu moja, unapoumwagia maji ili kuuzima unaibukia pembeni tena kwa nguvu zaidi ya ule wa mwanzo tena una tabia ya kulipuka.

Deusdedith Soka kijana aliyeandamana kupinga mkataba wa DPW jana kachomewa nyumba yake na watu wasiojulikana, Mdude, Mwambukusi na Dr. Slaa walifunguliwa mashitaka ya uhaini kwa kupinga mkataba wa DPW, jana Rais kamfutia dr. Slaa hadhi ya ubalozi kwa kupinga mkataba wa Bandari. Yote hii ni kujaribu kuwazima wote wanaohoji mkataba na DPW.

Nataka nimwambie Rais kuwa wanaomshauri afanye hivyo wanampotosha, unapojaribu kumdhibiti Soka anaibuka Mdude, unapomdhibiti Mdude anaibuka Mwambukusi, ukimdhibiti Mwambukusi anaibuka Slaa ukimdhibiti Slaa atakuja Tibaijuka ukiwadhibiti hao yatakuja madhehebu ya dini asifikiri atawamaliza.

Atambue nyuma ya hawa individuals kuna watu nyuma yao kuna taasisi nyuma yao kuna vyama nyuma yao. Siku hizo taasisi na watu wakiamua kuungana mlipuko wake utakuwa mkubwa sana sijui kama ataweza kuuzima.

Sabato njema watu wa Mungu.
 
Nijuavyo mm, wachezaji walioko benchi Huwa ni wengi zaidi ya wanaoonekana uwanjani.

Tusubiri dakika ya 90".
 
Moto wa petroli una tabia kuu moja, unapoumwagia maji ili kuuzima unaibukia pembeni tena kwa nguvu zaidi ya ule wa mwanzo tena una tabia ya kulipuka.

Deusdedith Soka kijana aliyeandamana kupinga mkataba wa DPW jana kachomewa nyumba yake na watu wasiojulikana, Mdude, Mwambukusi na Dr. Slaa walifunguliwa mashitaka ya uhaini kwa kupinga mkataba wa DPW, jana Rais kamfutia dr. Slaa hadhi ya ubalozi kwa kupinga mkataba wa Bandari. Yote hii ni kujaribu kuwazima wote wanaohoji mkataba na DPW.

Nataka nimwambie Rais kuwa wanaomshauri afanye hivyo wanampotosha, unapojaribu kumdhibiti Soka anaibuka Mdude, unapomdhibiti Mdude anaibuka Mwambukusi, ukimdhibiti Mwambukusi anaibuka Slaa ukimdhibiti Slaa atakuja Tibaijuka ukiwadhibiti hao yatakuja madhehebu ya dini asifikiri atawamaliza.

Atambue nyuma ya hawa individuals kuna watu nyuma yao kuna taasisi nyuma yao kuna vyama nyuma yao. Siku hizo taasisi na watu wakiamua kuungana mlipuko wake utakuwa mkubwa sana sijui kama ataweza kuuzima.

Sabato njema watu wa Mungu.
Mnakosea sana,msimstue mwacheni ajione yuko sahihi muda wote ili muda mwafaka ukifika asijue aanzie wapi.
 
Moto wa petroli una tabia kuu moja, unapoumwagia maji ili kuuzima unaibukia pembeni tena kwa nguvu zaidi ya ule wa mwanzo tena una tabia ya kulipuka.

Deusdedith Soka kijana aliyeandamana kupinga mkataba wa DPW jana kachomewa nyumba yake na watu wasiojulikana, Mdude, Mwambukusi na Dr. Slaa walifunguliwa mashitaka ya uhaini kwa kupinga mkataba wa DPW, jana Rais kamfutia dr. Slaa hadhi ya ubalozi kwa kupinga mkataba wa Bandari. Yote hii ni kujaribu kuwazima wote wanaohoji mkataba na DPW.

Nataka nimwambie Rais kuwa wanaomshauri afanye hivyo wanampotosha, unapojaribu kumdhibiti Soka anaibuka Mdude, unapomdhibiti Mdude anaibuka Mwambukusi, ukimdhibiti Mwambukusi anaibuka Slaa ukimdhibiti Slaa atakuja Tibaijuka ukiwadhibiti hao yatakuja madhehebu ya dini asifikiri atawamaliza.

Atambue nyuma ya hawa individuals kuna watu nyuma yao kuna taasisi nyuma yao kuna vyama nyuma yao. Siku hizo taasisi na watu wakiamua kuungana mlipuko wake utakuwa mkubwa sana sijui kama ataweza kuuzima.

Sabato njema watu wa Mungu.
Duuh huyu maza huyu, mbona walimuona mzalendo, shupavu, swala dasi.
Waliosema mpe cheo tumjue naamin hawakukosea., maana hata akili ya kuambiwa changanya nazakwako ndio utoe maamzi.
 
Tutawavunja migongo yenu kkenge nyie,msituvurugie amani
 
Vyeo huja,Vyeo huondoka.... Lkn Muhimu ni Mapenzi halisi juu ya nchi Yako...

Mwache Slaa asimamie anachokiamini...

Heshima na haki Hudumu milele...

Reaction hii Ya Mama pia Haitafutika katika Historia ya Uongozi Wake.... ! Italeta effects Hasi au Chanya ni Jambo La Kusubiri.
Kifupi mama ameonesha alivyo na upeo mfupi wa kufikiri. Kwa kiongozi mwenye fikra pevu, asingechukua hatua hii wakati huu. Angesubiri hili lipite.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Moto wa petroli una tabia kuu moja, unapoumwagia maji ili kuuzima unaibukia pembeni tena kwa nguvu zaidi ya ule wa mwanzo tena una tabia ya kulipuka.

Deusdedith Soka kijana aliyeandamana kupinga mkataba wa DPW jana kachomewa nyumba yake na watu wasiojulikana, Mdude, Mwambukusi na Dr. Slaa walifunguliwa mashitaka ya uhaini kwa kupinga mkataba wa DPW, jana Rais kamfutia dr. Slaa hadhi ya ubalozi kwa kupinga mkataba wa Bandari. Yote hii ni kujaribu kuwazima wote wanaohoji mkataba na DPW.

Nataka nimwambie Rais kuwa wanaomshauri afanye hivyo wanampotosha, unapojaribu kumdhibiti Soka anaibuka Mdude, unapomdhibiti Mdude anaibuka Mwambukusi, ukimdhibiti Mwambukusi anaibuka Slaa ukimdhibiti Slaa atakuja Tibaijuka ukiwadhibiti hao yatakuja madhehebu ya dini asifikiri atawamaliza.

Atambue nyuma ya hawa individuals kuna watu nyuma yao kuna taasisi nyuma yao kuna vyama nyuma yao. Siku hizo taasisi na watu wakiamua kuungana mlipuko wake utakuwa mkubwa sana sijui kama ataweza kuuzima.

Sabato njema watu wa Mungu.
Unaota mchana.
 
Hivi ubalozi unavuliwa kama kikoi au inatamkwa/kuandikwa tu kwamba si wewe tena?
Unapokuwa na hadhi ya kibalozi ya nchi fulani,Wewe unakuwa ni mmoja kati ya waliopo katika hiyo serekalia,unapoipinga hiyo serekqli unajipinga wewe mwenyewe,kwa hiyo unajivua katika serekali bila wewe kuwa unajijua,ikiwa hujijui,inabakia kutanfazwa rasmi kuwa umevuliwa,kwa vile hujijui,wajibu wako.
 
Shangaa mambo ya kuongozana na watu kutoka kizimkazi
Ukiwa balozi katika serekali,iliyopo madarakani,wewe balozi unakuwa ni mmoja wao,lakini kama hujitambui,ndio unapojipinga wewe mwenyewe.Huyu balozi,alikuwa anajipinga yeye mwenyewe,bila kujijua kama anajipinga.
 
Unapokuwa na hadhi ya kibalozi ya nchi fulani,Wewe unakuwa ni mmoja kati ya waliopo katika hiyo serekalia,unapoipinga hiyo serekqli unajipinga wewe mwenyewe,kwa hiyo unajivua katika serekali bila wewe kuwa unajijua,ikiwa hujijui,inabakia kutanfazwa rasmi kuwa umevuliwa,kwa vile hujijui,wajibu wako.
Kwa hiyo dokta Slaa alipaswa atetee hata analoliona si jema kwa mustakabali wa nchi yake ili tu asionekane "kujikataa"?
 
Yaani anazidi kuwatia hasira wananchi,siku bomu likipulika nchi hii damu imwagike Kama kwingineko ndio watu wataelewa
Wananchi sio wajinga.
Nani aungane na wasioitakia mema nchi yao ikiwa
1.Elimu bure,kuanzia shule ya awali mpaka form six.
2.Wanafunzi wa vyuo vikuu wanapata mikopo,ya ada,mikopo ya hostel,mikopo ya visomeo,mikopo ya kujikimu.
3.Vyuo vya kati nako ni mikopo
4.Wafanyakazi wanapata mikopo
5.Wanaotaka kulima,wanasaidiwa,mikopo,Pembejeo,masoko nk
6.Vijana na wazee wametengewa maeneo ya biashara.Nk
 
Duuh huyu maza huyu, mbona walimuona mzalendo, shupavu, swala dasi.
Waliosema mpe cheo tumjue naamin hawakukosea., maana hata akili ya kuambiwa changanya nazakwako ndio utoe maamzi.
Utake kuvuruga amani,halafu uchekewe.Hata Mwalimu Nyerere,hakuwachekea waliotaka kuvuruga amani.Hata aliogombania nao uhuru,walipotaka kuleta ujinga,aliwaonyesha cha moto.
 
Kwa ufaham wako kuna madhara gani kwa aliyevuliwa huo ubalozi. Kukosolewa ni sehem ya maisha, maana huyo maza siyo perfect 100%., an hakuna mtu aliye PERFECT.
 
Back
Top Bottom