Kwangu mimi Dkt. Wilbroad Slaa ni Balozi wa kudumu wa Rasilimali za Tanzania na Balozi wa watanzania wenye akili kubwa na timamu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,130
Haya kama mnaweza njooni muutengue na huu Ubalozi wa Kutukuka aliopewa na Rais wa Jamhuri ya wana JamiiForums wote duniani GENTAMYCINE.

Kumpiga Teke Chura ni Kumuongezea mwendo hivyo mmemjenga zaidi kuliko Kumbomoa na Kumkomoa.

Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
 
Kama Rais wenu wa mioyoni Lowassa au? 😂😂😂😂
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
 
Ndugu msaliti kati ya slaa na mbowe ni yupi?nani aliuza chama kwa fisadi luwasa? yuko wapi luwasa leo? mbona yupo kimya?fungua ubongo wako acha ushabiki usionamana.
 
Wamejisumbua bure kumvua ubalozi, ndio kwanza wamemjenga wakidhani wanambomoa. Yule hana unafiki katika misimamo yake. Kwa alivyovuliwa ubalozi ukimsimamisha agombee urais anashinda mapema asubuhi tu, amejipambanua ni mtetezi wa rasimali za nchi, amejiongezea credit kwa wananchi
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
KWANINI IWE MBOWE NA LEMA?kwani isiwe uongozi wa chama?bado hujaacha uchaga? mbowe tamaa ya pesa kauza chama,dr slaa kakataa ofa ya luwasa.
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
Mnamsema Dr Slaa amewasaliti lakini hamzungumzii mtu aliyekuja kwenu ili mumpatie nafasi ya kugombea urais na alivyoshindwa akarudi alikotoka, pia hamzungumzii watu waliomkaribisha bila kumchunguza kwa makini.
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
Mpaka leo hakuna mtu yeyote aliyewahi kusimama na kutetea hoja ya Dr Slaa kukisaliti chadema.

Imekuwa ni kauli ya kisiasa ya ki jumla jumla isiyo na ufafanuzi wa maana.

Kila mmoja wetu anakumbuka namna Dr Slaa alivyoondoka Chadema.

Alisema wazi kuwa kashindwa kuelewana na wenzake kwenye hoja ya kumpachika Lowasa ugombea na kwamba hawezi kula matapishi yake.

Alisema pia kwamba haendi kujiunga Ccm wala chama chochote na atabakia neutral.

Kwa kuwa Rais Magufuli alimwamini sana Dr Slaa na katika utawala wake alitumia sana falsafa za Slaa na baadaye ikampendeza na kumteua Ubalozi.

Dr Slaa hajawahi kuyakiuka maneno yake hayo na wala wakati akiteuliwa Ubalozi hajawahi kurudi Ccm.

Sasa kwa mizania ya maelezo yangu ni nani msaliti hapo, ni viongizi wenzake wa Chadema au yeye.

Na ndiyo maana wapenda mageuzi tunaona uongozi wa Chadema umepwaya na hauaminiki kutokana hilo saga la kumkaribisha Lowasa.

Watafute safu mpya ya uongozi itakayobeba dhima ya chama na kuaminika kwa wananchi, siyo hao waliopo kwa sasa, maana hawaaminiki kwa watu ingawa hoja zao ni nzuri.

Lowasa aliwaharibia sana.
 
Haya kama mnaweza njooni muutengue na huu Ubalozi wa Kutukuka aliopewa na Rais wa Jamhuri ya wana JamiiForums wote duniani GENTAMYCINE.

Kumpiga Teke Chura ni Kumuongezea mwendo hivyo mmemjenga zaidi kuliko Kumbomoa na Kumkomoa.

Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
 
Mpaka leo hakuna mtu yeyote aliyewahi kusimama na kutetea hoja ya Dr Slaa kukisaliti chadema.

Imekuwa ni kauli ya kisiasa ya ki jumla jumla isiyo na ufafanuzi wa maana.

Kila mmoja wetu anakumbuka namna Dr Slaa alivyoondoka Chadema.

Alisema wazi kuwa kashindwa kuelewana na wenzake kwenye hoja ya kumpachika Lowasa ugombea na kwamba hawezi kula matapishi yake.

Alisema pia kwamba haendi kujiunga Ccm wala chama chochote na atabakia neutral.

Kwa kuwa Rais Magufuli alimwamini sana Dr Slaa na katika utawala wake alitumia sana falsafa za Slaa na baadaye ikampendeza na kumteua Ubalozi.

Dr Slaa hajawahi kuyakiuka maneno yake hayo na wala wakati akiteuliwa Ubalozi hajawahi kurudi Ccm.

Sasa kwa mizania ya maelezo yangu ni nani msaliti hapo, ni viongizi wenzake wa Chadema au yeye.

Na ndiyo maana wapenda mageuzi tunaona uongozi wa Chadema umepwaya na hauaminiki kutokana hilo saga la kumkaribisha Lowasa.

Watafute safu mpya ya uongozi itakayobeba dhima ya chama na kuaminika kwa wananchi, siyo hao waliopo kwa sasa, maana hawaaminiki kwa watu ingawa hoja zao ni nzuri.

Lowasa aliwaharibia sana.
Umechambua vizuri na kiukweli ukiweka kwenye mizania Dr.Slaa anaonyesha rangi zake halisi bila ukigeugeu ukilinganisha na Mbowe. Slaa kuondoka CHADEMA kwa hoja ya kutomkubali Lowasa ana mantiki kuliko waliomkaribisha wakati walimwita fisadi.
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
Uko nje ya Maada
 
Haya kama mnaweza njooni muutengue na huu Ubalozi wa Kutukuka aliopewa na Rais wa Jamhuri ya wana JamiiForums wote duniani GENTAMYCINE.

Kumpiga Teke Chura ni Kumuongezea mwendo hivyo mmemjenga zaidi kuliko Kumbomoa na Kumkomoa.

Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Labda balozi wa mama yake msaliti huyo
 
Haya kama mnaweza njooni muutengue na huu Ubalozi wa Kutukuka aliopewa na Rais wa Jamhuri ya wana JamiiForums wote duniani GENTAMYCINE.

Kumpiga Teke Chura ni Kumuongezea mwendo hivyo mmemjenga zaidi kuliko Kumbomoa na Kumkomoa.

Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Omughaka, nakuaminia sana ktk post zako. Na ni wazi huwa unasikilizwa na huyu bibi kiongozi wetu. Revenge hata hata kama ni sweet, wakati mwingine ni chungu na kujitengezea mawazo tu.. sijui sasa ya nini kumvua mtu aliyetuwakilisha huko ulaya bila chenga kwa kutetea tu suala la bandari? Tunahitaji maturity leaders ambayo kwa huyu wa sasa bado no work in progress and internsgip at best ... wakusikileize tu Omughaka
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
Acha upumbavu , Ubalozi Ni kutumikia taifa sio CCM
 
Back
Top Bottom