Tundu Lissu hata kama humpendi utamkubali tu, yuko very Strategic and Visionary. Dunia tunayoiendea inahitaji watu wa aina yake

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,009
142,041
lissu-piic.jpg


Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.

Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.

Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.

Jumaa Mubarak 😀🌟
 
Huyo Tundu Lisu ni wa pk pia kama wengine tu wanaotumika, hamjamjua tu, hana tofauti na zito sema zito mjanja zaidi anapata kila kitu kama tundu lisu bila ya ulemavu wa kujitakia …
 
Huyu jamaa Tundu Antipas Lisu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana

Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi

Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili

Jumaa Mubarak 😀🌟
Uzi tayari?
 
huyo tundu lisu ni wa pk pia kama wengine tu wanaotumika, hamjamjua tu, hana tofauti na zito sema zito mjanja zaidi anapata kila kitu kama tundu lisu bila ya ulemavu wa kujitakia …
Makuwadi ya warabu dpworld mwambien mamayenu kuwa pesa alizohongwa azirudishe kwa hiari tofaut na hapo atazitoa kupitia matundu yote ya mwili wake na nyie tunawashauri muende kwa mabwana zenu warabu dubai.
 
Back
Top Bottom