NANCA
Member
- Jun 23, 2023
- 92
- 100
Yaani kwa uteuzi wa naibu waziri mkuu inaonesha kua waziri mkuu amepwaya hvyo anahitaji msaidizi. Sasa swali langu ni je kupwaya huko ni kutokana na majukumu kua mengi?
Ni je kutokana na ufanisi wa waziri mkuu kushuka? Au je waziri mkuu amekua mzembe? Au shida ni nini hadi mkuu ameamua kumuongezea nguvu? Jibu langu mimi ni kua ata ngekua mimi waziri mkuu nsingekubali kuendeshwa, nsingekubali kutengwa na nsingekubali wenzetu wa upande mwingine wakatiliane mikataba ya kubinafsisha bandari zetu zetu nchini bila sisi wenyewe kuwepo.
Ningekua kisirani, ngechukia na nsingeonesha ushirikiano na mimi jinsi nlivyo ngeongea hadharani na ngejiuzulu na ningegombea urais na ngeshinda na nigemuweka ndani yule alieuza mali zetu kwa hila.
BIG UP MajaBoy wakubwa tunakuelewa na tunaelewa kinachotokea, kaza buti, 2025 kagombee ata kupitia CUF au NCCR au chama cha Ubwabwa na watanganyika tutakupigia kura haiwezekani mtu kutola kisiwa chenye watu milioni 1 atupeleke anavyotaka.