Maandamano ya CHADEMA yanaendelea Mbeya sasa hivi
https://www.youtube.com/watch?v=IBSOyiuU4Nk
Tundu Lissu:
- Tutaandamana mpaka tutakapopata Katiba mpya, mfumo mpya wa uchaguzi, mpaka...
Kwa yanayoendelea sasa hapa nchini sambamba na mengine ya siku za nyuma, nikisema hii ni Jamuhuri ya Watu wa Kukurupuka nitakuwa nakosea?
Kabla ya kujibu hili swali, tafakari mfululizo wa...
"Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni...
BARUA KWA RAIS SAMIA SULUHU KUHUSU UFISADI KWENYE SUKARI
11 December 2021
Mheshimiwa Rais nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini ningependa badala ya kusema kazi Iendelee...
Waziri Bashe akiwa Ikulu, Dar ameongelea sakata la sukari nchini.
Bashe: Wafanyabiashara wana option mbili tu, waache kuuza sukari, Serikali itatafuta option nyingine. Wenye viwanda wana option...
Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu.
Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara...
Na. Farida Ramadhani na Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam
Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) zimesaini mikataba miwili yenye thamani ya zaidi dola za Marekani milioni 158.1 (shilingi...
Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA TAN) imeeleza kusikitishwa na kuhuzunishwa na tukio lilotokea mnamo February 19, 2024 la kufukuzwa kwa waandishi wa habari mkoani Simiyu katika...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi...
Wakati kilio cha mgawo wa maji na umeme, na uhaba wa sukari kikiendelea nchini, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa imara anapoendelea kutafuta suluhisho...
Ujio wa Naibu waziri Mkuu ulifahamika Mapema
Maandamano ya Chadema yalifahamika Mapema
Sasa hii changamoto ya kuwakutanisha barabarani imetokeaje?
Nimeshangaa Sana 🐼
Habari za wakati;
Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini...
Wafanyabiashara wa Tanzania , hasa wale wanaouza sukari ni kama Watumwa wa serikali , ni watu ambao wamekubali pia kuwa Watumwa , haijulikani sababu hasa ya wao kukubali kuwa mbuzi wa Kafara...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa CCM, chini ya Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu...
Nyakati za Uchaguzi zimekuwa chanzo cha mlipuko wa habari nyingi potofu. Makundi mbalimbali yamekuwa yakipotosha kwa makusudi ili kuwadunisha au kuwanufaisha Wagombea na Vyama vya Siasa...
CHADEMA kuweni wepesi wa kunusa na kujua ishu rahisi ambazo ni kero kwa wananchi na mzitumie ipasavyo ku - instigate hasira kwa wananchi ili waichukie na waingushe serikali hii haramu kupitia...
Kupitia Ukurasa wake wa X Waziri Bashe amefafanua kauli yake kulingana na alivyonukuriwa jana na vyombo vya habari
Waziri amesema Mwezi unaokuja kutakuwa na Sukari ya kutosha
Jumaa Mubarak 😀
Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika...
Ni safari ya pili sasa Cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinatumika ktk Baraza la Mawaziri.
Mara ya kwanza ilikuwa wakati wa Utawala wa Awamu ya PILI Rais Ally Hassani Mwinyi alimteua Hayati Augustino...