Komredi KACHEBONAHO Atoa Futari kwa Kaya 300 Kyerwa
Mjumbe wa Baraza kuu la jumuiya ya vijana UVCCM Taifa kutoka mkoa wa Kagera Ndg. Leodigar Kachebonaho ametoa mkono wa Futari kwa kaya Zaidi ya...
Serikali kusababisha Mafuriko; Waziri wa Nishati awajibishwe na Wananchi wa Rufiji na Kibiti wafidiwe.
Chama cha ACT Wazalendo kinataka hatua kali za uwajibishaji dhidi ya Waziri wa Nishati Ndg...
Kwa mujibu wa sheria za nchi, Mahakama haimiliki kesi, kwa msingi kwamba mahakama inapokea tu malalamiko (kesi), mahakama haitafuti kesi mitaani ili ije izisajili. Mahakama ni kama mtoto mchanga...
✳️ UVCCM YACHANGIA WHEEL CHAIR TANO (5) KUWAUNGA MKONO TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO
🗓️07 Aprili, 2024
📌Karimjee, Dar es Salaam.
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi imechangia...
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa
Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama...
Yesu alisema,"Vipi Hekalu limegeuzwa kuwa pango la wezi na wanyang'anyi?"
Kwa wale ambao sio Wakristu tuseme kwamba Yesu akawaona wati wanafanya dili nyingi za pesa.
Akasema,"Baba yangu aliamuru...
Uchaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi wanaowaongoza. Hata hivyo, ili kufanya maamuzi ya busara na yenye tija, ni lazima wananchi...
Profesa Kitila Mkumbo akizungumza na Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo na nafasi yao katika kuwezesha biashara nchini. Alisisitiza...
Mlango wa bwawa upo kati ya Mkoa wa Pwani na Morogoro, Lakini mawanda ya bwawa Kwa asilimia kubwa yatakuwa kwenye Jimbo la Liwale.
Kwani serikali ikisema hivyo watapungukiwa nini?
Kwa kuwa kumekuwa na kilio cha muda mrefu kwamba CHADEMA imekuwa ikihujumiwa na media nyakati zote hasa katika mikutano ya hadhara. Kwamba mikutano huwa haionyeshwi kwasababu ya maelekezo kutoka...
Kilichojibiwa na Idara ya Uhamiaji ndicho kinachoitwa majibu katika macho ya sheria. Si kila bendera ya kijani ni bendera ya CCM na siyo kila bendera ya kijani yenye nembo ya CCM siyo mali ya CCM...
Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni zinazoruhusiwa kuagiza vileo ikisema kinakinzana na Katiba ya...
Kinachofurahisha ni Kwamba kwenye Mjadala wa Bwawa la Nyerere na Mafuriko ya Rufiji Hata makamanda wa Chadema wako Upande wa Magufuli
Huko mitandaoni kila mwenye mapenzi Mema na Nchi Hii anasema...
Hii ndio sababu ya Chama cha Mapinduzi ccm kutapatapa.
Kiukweli ni kuwa ccm haina tena kitu cha kuwadanganya wananchi cha kusema inaeneza.
Siasa za hadaa na ahadi za uongo zimekuwa ni zile zile...
Wakuu,
Kuna watu mpaka unafikiria mtu kama huyu kafikaje bungeni, maana ni zaidi ya weupe kichwani, watupu kabisa!
Kodi zote hizi mnazotuumiza nazo wananchi bado unataka ziongezwe nyingine...
Ndio Mama ni kama ameshindwa sasa kutatua changamoto za umeme na Siasa chafu.
Huu ukatikaji wa umeme tena masika ni wa kiwango cha juu mnoooo toka nizaliwe. Sio mgao ni ukatikaji umeme.
Sipo...
Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha...
Ratiba ya Kisomo cha Dua ya Arubaini ya Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Tatu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu...
Shauri hilo limefunguliwa na kijana Alphonce Lusako aliyetimuliwa UDSM mwaka 2011 na kufanyiwa njama asirejee tena chuoni hapo kinyume cha sheria za nchi na kinyume cha sheria za chuo chenyewe...
Akizindua idara ya kutunza taarifa binafsi, Rais Samia Aametoa muda hadi Disemba kuhakikisha Waziri Mkuu anasimamia mifumo yote ya Serikali kusomana...