Zitto Kabwe: Rais Samia alipaswa kutangaza kifo cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa, kitendo Cha Wakuu wa Ulinzi kuwa Watoa Taarifa ni hatari!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
87,623
150,228
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa

Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kuwa ndio Watoa Taarifa ni Cha hatari Sana

Hili ni jambo linapaswa kuwa somo kwetu na kuyaweka mambo ya mabadilishano ya Madaraka " Power Transfer" kuwa ya Kisheria , amesisitiza Kabwe

Source: Jambo TV
 
Hili ni jambo linapaswa kuwa somo kwetu na kuyaweka mambo ya mabadilishano y .a Madaraka " Power Transfer" kuwa ya Kisheria , amesisitiza Kabwe

Source: Jambo TV
Ni ujinga wa kiwango cha juu Sana kwa zito kabwe . Angeapishiwa wapi sebuleni kwake. Je ,jeshi lingemtambua?. Kama angeapishiwa hadharani ingeleta picha Gani kwa wananchi ungali wao wanajua Rais wao ni Magufuli na hawana taarifa za kuugua kwake halafu waone mtu anaapishwa si angeonekana yy ndiye kafanya njama kumuua.! Kumbe zito ni mjinga kiasi hiki hata haheshimu mwongozo wa katiba kuwa nani anapaswa kutangaza kifo cha Rais. Kwa hiyo Rais atangaze kifo cha Rais hii itifaki ni ya wapi? Stupid zito😭
 
• Kwa lugha nyepesi ni kwamba: Kabla ya Rais hajafa, makamu wa Rais inabidi aapishwe🤒🤒?

• Makamu wa Rais Ataapishwa vipi, kabla Rais Aliye madarakani bado ni mzima?

Au mimi ndo sijaelewa 🤔?
Zitto Mjinga.Kuapisha raisi mpya wakati mwingine bado yuko madarakani ni uhaini

Pia ni ujinga utawaambiaje wananchi sababu ya kumuapisha raisi mpya wakati haieleweki huyo wa zamani yuko wapi

Zitto ujinga umemjaa
 
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa

Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kuwa ndio Watoa Taarifa ni Cha hatari Sana

Hili ni jambo linapaswa kuwa somo kwetu na kuyaweka mambo ya mabadilishano ya Madaraka " Power Transfer" kuwa ya Kisheria , amesisitiza Kabwe

Source: Jambo TV
Huyu nae kama kichaa. Yaani mtu aapishwe alafu watu hawajui alipo Rais aliekuwa madarakani. Huyu hongo zishampofusha
 
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa

Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kuwa ndio Watoa Taarifa ni Cha hatari Sana

Hili ni jambo linapaswa kuwa somo kwetu na kuyaweka mambo ya mabadilishano ya Madaraka " Power Transfer" kuwa ya Kisheria , amesisitiza Kabwe

Source: Jambo TV
Zito nae bana 🐒

kwahiyo hafahamu kama Jambo hili liko kisheria,
Na labda liliwahi kutokea humu nchini ili tuone kama sheria zilikiukwa na sasa turekebishe 🐒
 
Yuko huwa Unatangazwa msiba hapo hapo anaapishwa shughuli zinaendelea yaani Ceremony huwa inaandaliwa hapo hapo anatoka kutangaza anaapishwa hapo hapo
Anatangaza nani ? Sababu akitangaza hata dakika moja kabla kuapishwa hatangazi kama Raisi sababu anakuwa hajaapishwa.

Alichosema Zitto mjinga kuwa atangaze kifo akishaapishwa Ujinga wake ndio upo hapo .Raisi mpya hawezi apishwa kabla tangazo kwanza kutoka la kufariki aliyepo kutoka.kwanza .Nchi zote dumiani huwa hivyo labda atueleze nchi gani raisi akifa mpya hutangazwa kwanza ndipo atangaze kifo cha aliyemtangulia.

Hakuna kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom