Ni mwandishi nguli na mwana JF maarufu CV yake haina mashaka popote na ana heshima yangu kubwa tu. Ni mmojawapo wa watu aliyenihamasisha kujiunga na JF hasa kule jukwaa la intelligence
Simhukumu...
Badala ya kua wakosoaji wakuuu na wabunifu kimawazo, mipango na mikakati mbadala wa kinacholalamikiwa na wanainchi, wao sasa ndio wamekua sehemu ya walalamikaji mahiri na hodari, na sasa...
Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 696.41 kwa Burundi na Tanzania ili kuanza Awamu ya Pili ya mradi wa Reli ya Pamoja ya...
Spika wa Bunge mstaafu, Pius Msekwa amesema mtu asiyependa Muungano wa Tanzania akajinyonge.
Msekwa ametoa kauli hiyo leo Jumanne Aprili 26, 2022 wakati akiwasilisha mada kuhusu hatua mbalimbali...
RC Sendiga atoa maelekezo miradi inayotekelezwa Mirerani
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga leo mapema akiwa kwenye ziara yake katika Mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro, amemuagiza...
Arusha inakwenda kushuhudia kile alichoacha Magu. Wamasai wanakwenda kushughulikiwa watakapotaka kufungua mdomo kutafuta haki yao katika hifadhi. Wananchi wanakwenda kufurushwa kwenye maeneo yao...
“Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress”
In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the...
Ilani ya CCM 2020 - 2025 inatekelezwa wapi? Mbona yaliyoandikwa kwenye ilani hiyo ya kurasa 303 hayaonekani kutekelezwa? Mfano ilani hiyo imetaja flyover kibao ikiwemo pale Mwenge mbona haijengwi...
Kume kuwa na utaratibu wa ajabu kwa awamu hii kutaka kuita kila mradi jina la Rais, na mbaya zaidi hakuna sheria wala utaratibu wa kufuata.
Sasa hivi nasikia uwanja wa Arusha wanataka uitwe...
Mwanza. Imeelezwa kuwa wafanyakazi 39 kati ya 813 waliokuwa wameajiriwa katika mradi wa ujenzi wa daraja la JPM Kigogo Busisi wameukimbia mradi huo na kuajiriwa kwenye mradi wa ujenzi wa Reli ya...
Rais Samia akiwa anazindua barabara ya Nyahua- Chaya mkoani Tabora ambayo ujenzi wake ulizinduliwa na Hayati Magufuli ameendelea kusisitiza kuwa wale wote wanaotangaza kwamba miradi ya awamu ya...
Wakati uharibifu wa mazingira ukiongezeka katika maeneo mbalimbali hasa ya vyanzo vya maji, Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema ikiwa mvua za vuli...
Jiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi.
Wananchi wa jiji la Arusha kwenye...
Tanzania sijui ni nani amewaloga watumishi wa umma. Kila wakikaa ofisini wanatafuta namna ya kuwafanya watu wasiende kuzalisha badala yake wakapange foleni kubishana na watumishi husika.
Tanzania...
Sote tumeshuhudia jinsi Rais anavyohangaika kuteua na kutengua kila mara. Hali hiyo inadhihirisha kuwa Mh. Rais anashindwa kuwapata watu sahihi wa kuweza kumsaidia. Hivyo anabakia kubahatisha...
Jaji Warioba akihojiwa na Mwananchi Digital Aprili 7, 2024. amesema kuwa Mawaziri wasitokane na wabunge,
"Bunge liwe ni bunge, serikali isiingiliane na bunge, na vizuri mawaziri wasiwe kwenye...
Serikali badala ya kupoteza maji kufungulia na hatimaye kuharibu mashmba na miji huko Rufiji basi wangewapa Dawasco hiyo kazi wafunge mtambo wa maji kuleta Dar huku maji ya ziada tunafyonza...
Sasa ndio muda mwafaka Kwa waheshimiwa kujionesha mbele ya jamii kuwa wako karibu na wananchi hasa tunapoelekea kwenye kipindi Cha uchaguzi.
Baadhi ya matukio yanayoweza kuambatana na kujipitisha...
Bado watu hawajamsahau Jiwe 😁😁
Sasa kama alikuwa kipenzi Chao Wanyonge Kwa nini inaonekana alipora uchaguzi?
Kwani hayo mambo mapya anayoyasema Babu Warioba ni yapi Hadi amechafukwa na kukerwa...