Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha Thomas Ole Sabaya amewaonya wakazi wa Longido kutokuchagua wapinzani kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kwani serikali haitopeleka huduma...
4 Reactions
93 Replies
7K Views
Nchi nyingi sana Duniani huwa zina take Care sana ya Raia wao, wakati wa shida hasa inapo tokea majanga kama mafuriko au moto au tetemeko, hata kama janga limekumba raia mmoja tu, haijalishi. Na...
0 Reactions
1 Replies
336 Views
Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu. Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana...
0 Reactions
0 Replies
535 Views
1. Katiba Mpya - Lazima itungwe katiba mpya yenye meno inayoweka hatua anazopaswa kuchukuliwa kiongozi endapo ataivunja. Katiba hii iweke misingi ifuatayo; a) Rais ateue Wakuu wa Vyombo vya...
6 Reactions
13 Replies
829 Views
President John Magufuli of Tanzania initiated a number of large-scale infrastructure projects during his tenure, including: Tanzania Standard Gauge Railway (SGR): A 2,561-kilometer railway line...
12 Reactions
63 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi
13 Reactions
95 Replies
3K Views
Akili ni nywele kila mtu anazake ila wingi wa nywele haimaanishi kuwa unaakili nyingi au kubwa dhidi ya wenzako,mimi Muhafidhina nimeona nyuzi zenye hoja nyingi zisizo mashiko kwa baadhi ya member...
0 Reactions
8 Replies
779 Views
Sioni kama ni vyema CCM kuendelea kutumia nguvu nyingi kujitamba na kujigamba majukwaani kwani Hadi Sasa sioni chama Cha kushindana na CCM. Upinzani wenyewe ni kama upo haupo, chadema nao ni kama...
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar. Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Naibu Katibu mkuu wa CCM John Mongella amesema Ushindi wa CCM ni lazima hakuna Mjadala kwani sekretarieti mpya imesheheni Watu Wenye utaalamu wa mbinu mbalimbali Mongella amesema Wanaccm Msiogope...
14 Reactions
110 Replies
8K Views
Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi. Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania? Jamani...
32 Reactions
90 Replies
4K Views
Tunapokaribia kuadhimisha miaka 31 tangu kilipotokea kifo kilichojaa utata cha aliyekuwa Waziri Mkuu Ndg.Edward Moringe Sokoine,ni wakati mwafaka sasa kumhoji Mh.Cleopa Msuya juu ya tuhuma za...
4 Reactions
266 Replies
45K Views
Vijana Wanasiasa kama Bavicha, UVCCM, Ngome ya Vijana jifunzeni Uzalendo kwa hawa Majemedari niliowataja vizazi vyenu vitaheshimiwa Daima RIP Edward Sokoine RIP Julius Nyerere RIP Shujaa...
3 Reactions
28 Replies
899 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua Maalum ya kumuombea Hayati Mzee...
0 Reactions
0 Replies
441 Views
Vyanzo vyangu ndani ya CCM vinadokeza kuwa wanahabari wawili, Dennis Joe Msacky na Aboubakary Liongo wamelamba teuzi. Dennis Joe Msacky kateuliwa kuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
7 Reactions
12 Replies
5K Views
Kinachoendelea huko Bwawa la Umeme la Mwl Nyerere wote tunalijua kuwa siyo kizuri kwa wananchi wa Rufiji. Nimeamua kuliangalia tatizo hili kwa kwa kona tofauti. Kuna hizi ISO mbili hapa: 1. ISO...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Nawashauri wananchi wa Rufiji, wakija ACT au Chadema hawana misaada fukuzeni haraka virusi hivyo, hali mliyokuwa nayo ss hv sio ya kukosoa, mnahitaji faraja na misaada kuliko wakati wowote, CCM...
4 Reactions
17 Replies
853 Views
Uhuni, usanii, ghiliba, ulaghai na hadaa ya Serikali ya CCM na Rais Samia kuhusiana na Tume ya Uchaguzi kwa Watanzania, inadhihirisha dhamira yao mbaya kwa Taifa letu. Serikali ya CCM inatumia...
2 Reactions
3 Replies
745 Views
April 12, 1984 Nilikuwa na umri wa miaka zaidi ya 10. Nalikumbuka vizuri tangazo la Mwalimu akitutangazia kifo cha Waziri Mkuu aliyepata kupendwa zaidi na Watanganyika Tangu Uhuru Edward Moringe...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…