Natabili wakili MADELEKA anaweza pata UWAZIRI

Natabili wakili MADELEKA anaweza pata UWAZIRI

Tangu ahamie ACT na baadae kudai Samiah ni role model nilimuona ni mtafuta fursa.
Sijawahi kumuelewa.

Huwa nikimsikiliza naona kama maneno anayoyatoa kusifia Serikali na Samia ni kama mafumbo ama kinyume.

Umemsikiliza namna anavyoshukuru baada ya kutemwa central juzi?
 
Mfumo wetu una tabia ya kula na adui yako, hivyo Madeleka akitua huko itakuwa just another Tuesday mbona.
 
Back
Top Bottom