Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ripoti hii ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wetu kwenye awamu ya Kwanza ya uongozi wa taifa letu. Alikufa miaka 40 iliyopita lakini mwaka 2024 serikali inashiriki kikamilifu kwenye kumbukumbu yake kutimiza...
1 Reactions
7 Replies
697 Views
Katibu Mkuu wa CCM na team yake , akiwemo Pedeshee Amos Makalla wameanza ziara ya kinachoitwa kujitambukisha huko mikoani , Leo wako Katavi . Hatuna kesi yoyote na wao kufanya ziara zao , Japo...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Ukiitafakari nchi ya Tanzania, ni kama nchi bandia iliyojaa mambo bandia yanayochekesha na kuudhi. Fikiria kuwa kwa miaka mingi Watanzania wametaka kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi, wakimaanisha...
2 Reactions
6 Replies
410 Views
MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Asifu Utendaji Kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Kuheshimisha Wanawake, Serikali na CCM Katika Kipindi cha Miaka Mitatu Aliyokaa...
0 Reactions
5 Replies
663 Views
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan. Ni mwenye kusikia kama Jina lake linavyosadifu, amesikia kero za wananchi wake na amezitatua kwa kiwango kikubwa na bado...
0 Reactions
2 Replies
479 Views
Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu. Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Mara nyingi hata watu wazuri walichafuka kwaajili ya kujishikamana na watu wenye matendo machafu. Kuna misemo na mausia mengi kuanzia kwenye vitabu vya dini mpaka kwenye jamii juu ya wale...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Tarehe 02/04/2024 kulikuwa na tukio la kuwasha mwenge wa uhuru mkoani kilimanjaro na mgeni rasmi alikuwa ni waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kama ilivyo kawaida kwa shughuli...
3 Reactions
76 Replies
3K Views
Nikikumbuka tulikotoka, ugumu wa maisha kisiasa na uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja, nashawishika kumkubali Samia hadharani bila hata haya wala soni. Watanzania tuna mengi ya kuridhika...
2 Reactions
57 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (Tamisemi), Dk Festo Dugange amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari Habari za...
5 Reactions
30 Replies
7K Views
Mjumbe wa baraza Kuu Taifa Ndugu Leodger Kachebonaho Mapema Leo amekabidhi Pikipiki tatu zenye thamani ya shilingi 9,900,000 (Milioni tisa na laki tisa) Kama mradi wa UVCCM WILAYA YA TEMEKE...
0 Reactions
1 Replies
456 Views
Hii imeshindikana, mfumo wa maisha umewafanya watu watamani kuwa matajiri asubuhi bila kuvuja jasho. Kuna mbinu zinatumika zinaumiza uchumi, lakini pia zinachafua taswira ya ofisi ya mkuu wa...
7 Reactions
13 Replies
950 Views
Waziri wa Fedha Dk.Mwigulu Nchemba Amesema ingawa Rais Samia alipokea Nchi ikiwa kwenye Hali ngumu ya kiuchumi kutokana na Changamoto za Kidunia sanjali na tukio lisirotarajiwa la kifo Cha Rais...
8 Reactions
132 Replies
6K Views
Wananchi wa Loliondo wamesalitiwa tena. Kwa kipindi hiki ni mbunge wao Saning'o Ole Telele na Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka. Kuna tetesi kuwa Sendeka alisafirishwa kutoka Arusha kwa gari ya...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Kwa miaka zaidi ya kumi chama cha mapinduzi kimewekeza kutengeneza watu tegemezi na wasio na sifa za uongozi. Kimewatengeneza akina Makonda, Kihongosi, heri James, Sabaya, Jery na akina Mange ...
7 Reactions
12 Replies
896 Views
BANDARI YATEKELEZA KWA KISHINDO MAAGIZO YA MAMA SAMIA Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), chini ya Uongozi wa Mkurugenzi Mkuu wake, Bwana Plasduce Mkeli Mbossa imefanikiwa kutekeleza...
0 Reactions
5 Replies
616 Views
Kumezuka tabia mbaya ya kutumia Fedha za Umma eti kusaidia watu waliokumbwa na Mafuriko ya kile kinaitwa mvua za El Nino. Jambo hili amelieleza Vizuri RC Makonda alipotembelea wahanga huko Arusha...
1 Reactions
8 Replies
762 Views
Hivi kwanini kusiwe na utaratibu mazuri wa namna ya kutunza cash za noti? Unakuta noti za elfu kumi, elfu moja, elfu mbili au elfu tano zinawekwa ovyo sana kwa kukunjwa kunjwa na watu kiasi...
1 Reactions
3 Replies
697 Views
Ndugu zangu Watanzania, Msione Lema ameanza kuweweseka na kupiga mayowe mitandaoni kabla hata Mwamba Mwenyewe Makonda hajaapishwa na kwenda kutua katika ardhi ya Arusha na kitovu cha utalii...
4 Reactions
129 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…