Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote. Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza...
16 Reactions
83 Replies
3K Views
Haya yameelezwa leo April 15,2024, Bungeni na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Nkenge, Florent Laurent Kyombo...
0 Reactions
11 Replies
905 Views
Kimsingi wanasiasa wanatoa kauli kuwa Rais amekwisha toa shs billion kadhaa kukamilisha miradi lakini ukifuatilia kauli hozo haziendani na uhalisia wa vitendo kwenye site je ni ulaghai wa...
1 Reactions
0 Replies
359 Views
Mwaka 2021 nilishangaa Msafara Wa Waziri Mkuu ulivyokuwa haujapangiliwa vizuri na nikasema ule ulikuwa ni upotevu Wa Hela za umma. - Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu? Leo Tena...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kila kukicha tunashauri tubane matumizi katika kila eneo, sasa mimi nikiwa mwanchi wa kawaida kabisa nashauri yafuatayo kwa Watawala kuhusu kupunguza matumizi makubwa ya Serikali. (1) Wananchi...
2 Reactions
3 Replies
505 Views
Mitandao ya kijamii hasa instagram kuna majibizano makubwa yanaendelea. Kadri siku zinavyokwenda wafuasi wa CCM aidha kwa kufahamu magile yao ni machafu au kwa nidhamu ya woga wamekuwa siyo silaha...
0 Reactions
6 Replies
684 Views
Kutoka katika korido za Lumumba mpaka korido za Magogoni ma Chamwino, moto unawaka. Yule mropokaji ametimiza kwa uzuri ile script yake aliyopewa kule Umasaini jana. Kuna mabadiliko makubwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2023/24 Serikali ilitenga Sh Bilioni 2.64 kwa ajili ya kugharamia taulo za kike ambapo kati ya fedha hizo Sh...
0 Reactions
3 Replies
775 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa kesho Jumanne Aprili 16, 2024 atawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Binafsi nimeona "potential" yako katika uongozi una uthubutu lakini ninahusudu uthubutu wako huo kwamba utachochea harakati za wananchi kujiletea maendeleo. Mtu akikwambia kuwa, "samahani umefeli...
6 Reactions
62 Replies
3K Views
Naomba kufahamishwa hapo na wataalam, na wanaokuwa sehemu ya Bunge la JMT wanazingatia vigezo gani au wanapatikanaje. Cc Pascal Mayalla
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kenedy Mwamlima ambaye ni TikToker maarufu kwa kukosoa serikali ya Samia ametekwa na watu wanaodaiwa ni polisi Mbeya mjini. Siku ya tano leo ndugu zake hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka...
14 Reactions
63 Replies
5K Views
Sijatumwa, lakini ikikupendeza, Hawa watu waweke kwemye serikali yako. Wataiva tu pamoja, hata kama wana itikadi tofauti. tuletee watu wa kutupeleka mbele hata kama wanatofautiano kimtizamo...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Tumekuwa tukisomewa budget za wizara zote ila sina kumbukumbu kama wananchi tuliwahi kujulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi kinachopatikana kwenye kila chanzo kwa mwezi au mwaka. Usikute...
1 Reactions
13 Replies
680 Views
Wengi wameshangaa RC Makonda kuombewa na viongozi mbalimbali wa Dini lakini wanasahau Mrisho Jambo mbunge wa Arusha ambaye ni mwislamu anaombewa na Nabii mkuu Geo Davie Nakumbuka waziri wa fedha...
2 Reactions
7 Replies
563 Views
2005: Kikwete vs Mbowe Uchaguzi ulikuwa mwepesi sana kwa CCM 2010: Kikwete vs Dr Slaa Uchaguzi ukawa mgumu kiasi kwa CCM 2015: Magufuli vs Lowassa Uchaguzi ukawa mgumu sana kwa CCM 2020...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Serikali ifanye mapitio ya kina ya mgawanyo wa bajeti kwa ajili ya posho za mazingira magumu kwa Maofisa wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari bomoabomoa imeanza na inaendelea pembezoni mwa Mto Msimbazi ukianzia Jangwani ambapo amesisitiza kuwa zitabomolewa nyumba nyingi...
1 Reactions
1 Replies
661 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi...
12 Reactions
250 Replies
29K Views
Watu mnaopigia debe vifurushi vipya vya NHIF mnapaswa kutafakari kwa umakini sana. Hivi vifurushi vipya ni vya kipuuzi na ovyo kuliko kikotoo na sheria mpya ya mafao kwa wenza wa vigogo. Kigezo...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…