Generally ni Tanzania kuwa kama Ulaya
Arusha kuwa Calfonia
Kigoma kuwa lango la biashara Maziwa Makuu
Mbeya kuwa Chicago
Dar kuwa Birmingham
Tabora kuwa Toronto
Zanzibar kuwa Dubai
Dodoma kuwa...
1965-Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 2,520,904 sawa na asilimia 96.46
1970- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 3,220,636 sawa na asilimia 96.7
1975- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa...
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.
Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:
1...
Yani kuacha Magufuli na Lissu, unakuja kugundua kuwa mshindi aliyeshika nafasi ya tatu kati ya hao 15 ni kura zilizo haribika. Yani zaidi ya kura laki mbili ziliharibika. Ni kura nyingi kuliko za...
JPM alipoingia madarakani alisema ataua vyama vya upizani hawakumuelewa, wakapiga kelele bila tafakuri Kumbe JPM alimaanisha kwa utendaji wake ifikapo 2020 hakuna atakaekuwa na Sera za kueleza kwa...
KATIBU MWENEZI wa CCM, Ndg. Humphrey Polepole, amewashukuru Watanzani kwa kukipa chama hiko kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kupelekea kushinda kwa kishindo.
Aidha ametoa ratiba...
Nimefurahi sana aliyekuwa mbunge wa Iringa, Msigwa Peter kuangushwa chini, Alikuwa na dharau sana ukimfata Kumueleza Shida akusaidie kama Mwananchi. Aliutumia ubunge kama Kitega uchumi cha...
Wasalaam wajumbe!
Mimi ninashangaa sana wanaodai kuwa ooh sijui maandamano yatavuruga amani ya nchi, kwani maandamano si yapo kikatiba na yameruhusiwa kabisa pale mtu anapohisi kua haki yake...
Hakika aliyewahi kuwa mbunge wa Kibamba Mheshimiwa John Mnyika aliyaona yatakayotokea katika uchaguzi mkuu 2020.
Aliamua kustaafu ubunge kwa kutokugombea na kupisha nafasi kwa wanachadema wengine...
Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia Mgombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya (CHADEMA) Salome Makamba kwa tuhuma za kufanya fujo, kuchana karatasi za matokeo ya kura na kumjeruhi...
Wadau, amani iwe kwenu.
CHADEMA na ACT-Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi...
Kwa jinsi anavyoipiga kwa sasa kila anapopita ni kama anaiweka kichochezi hivi, kwa sababu hadi sasa ni kweli Korona ipo na Ulaya na marekani hari bado ni tete.
Yeye anazungumzia mambo...
Jopo la waangalizi 89 waliobobea kwenye masuala ya demokrasia kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) likiongozwa na Mhe. Silvestre Ntibantunganya limesema uchaguzi wa Tanzania umefuata...
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Magufuli ataapishwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Novemba 5, 2020, hafla itakayohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa...
Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.
Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa...
12 October 2020, Index number: AFR 56/3051/2020.
1. EXECUTIVE SUMMARY
Tanzania has been independent since 1961 with President John Magufuli as the country’s fifth president, elected into office...
MATOKEO RASMI YA JUMLA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ni 29,759,699
Wapiga kura waliojitokeza Kura ni 15,910,950
Idadi ya kura halali ni...
Mwl. J. K. K. Nyerere ktk hotuba zake aliwahi kusema kuwa "Mtu akijua kuwa una Akili akakwambia jambo la kipumbavu ukakubali kufanya atakudharau" Pia Nyerere alisema Watanzania Mkiwa waoga...
Halima Mdee kwa nafasi yake kama mwenyekiti wa BAWACHA ndio Mbunge wa Viti Maalumu namba moja kama CHADEMA itapata sifa ya kuwa na wabunge hao.
Ngoja niangalie jumla ya kura na uwiano wake nione...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.