Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sidhani kama kuna Mtanzania ambae hajui mazuri ya Magufuli akiwa raisi wa Tanzania, atapinga kwamba Magufuli hakuwa na roho ya uzalendo kwa Tanzania, alichukia ufisadi, alichukia watu ambao...
20 Reactions
190 Replies
7K Views
Hizi ndizo taarifa ambazo zinasikika kwenye mikutano yao kama ambavyo wahenga walisema hakuna siri ya watu wawili. Na hawa imekuwa ni ya watu 19. Wanaambiana mengi na wengine wanakuja kutuambia...
2 Reactions
7 Replies
818 Views
Hii maana yake ni kwamba, Kila jambo litakaloanzishwa na Chadema ndilo litakalojadiliwa, Chama kimekuwa na nguvu ya Ushawishi ya kutisha kwa sasa. Huu ndio muda wa kusukuma mbele Ajenda za Katiba...
24 Reactions
104 Replies
6K Views
Haihitaji nguvu kubwa sana kumalizana na hizi kero za muungano wa kiajabu kiajabu wa Tanganyika na Zanzibar, ni Akili kubwa tu inatosha sana kuufukia huu muungano baada ya miaka mitano tu, hizi...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Huo Ndio Ukweli wa Jumanne hii. Moja ya Imani Kuu ya CCM ambayo mwanachama hujiapiza nayo mbele ya Mungu wa mbinguni ni Kuulinda Muungano wa Tanzania. CCM ni Tunda la TANU na ASP zilipoungana...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Wananchi wa kijiji cha Ndolezi kilipo kimondo maarufu cha Mbozi wamekuwa wakiishi hapo kabla ya wanasayansi kuthibitisha kuwa jiwe lile ni kimondo, hivyo kulipa jiwe hilo hadhi ya pekee...
14 Reactions
75 Replies
4K Views
Ukiangalia tabia ya Mbowe kwenye uongozi ni mtu mvumilivu, ana subra, hekima, busara, na hupenda kutumia diplomasia. Ni mjenga hoja zenye mashiko. Wakati Lissu ni mkali, mharakati, havumilii sana...
0 Reactions
1 Replies
430 Views
WAZIRI WA ULINZI AFANYA ZIARA KAMANDI YA JESHI LA AKIBA NA KULITAKA KUFANYA TATHMINI YA UTENDAJI TANGU KUANZISHWA KWAKE Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Stergomena Lawrence Tax...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi Tuko Live on Star TV, Mkuu Maxcence Mello wa JF, Yuko Live Ndani ya Jicho Letu Ndani ya Habari, JF Ikiwa Ndie Mtoaji Mkuu wa Habari Tanzania, Msikilize Max May 30, 2020 MAMBO AMBAYO...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
"Kuna clip moja mimi nimeipata, Rais Samia alipokuwa madarakani Lissu alisema Rais Samia amebadilisha upepo wa siasa, nilikuwa na kesi 6 za hovyo hovyo zimefutwa na mama anafanya kazi nzuri. Sasa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Watanzania wamezungumzia ubaya wa katiba yetu tangu siku nyingi. 1. Mwalimu Nyerere alikiri kuwa katiba yetu ni mbaya. 2. Bunge la mwaka 1993 lililopitisha maamuzi ya kuundwa kwa Setikali ya...
0 Reactions
8 Replies
765 Views
Mpaka Sasa Rais hajateua mwenyekiti wa TSC tangu mwaka jana mwezi wa saba 2023 hakuna Aliyethibitishwa kazini kutokana na ukosefu wa mwenyekiti. Mashauri ya kinidhamu ngazi ya wilaya yamekuwa...
1 Reactions
4 Replies
873 Views
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana juu ya uwakilishi wa kila Mbunge mjengoni. Sheria inasema kuwa kila Mbunge anatakiwa kuwakilisha wastani wa watu 100,000 katika Jimbo lake. Nashauri tufuate...
2 Reactions
13 Replies
952 Views
Nimeamua kuandika kuhusu kuwepo na watu wawili viongozi wakuu wa chama kuonyesha nia kutaka kuwa wagombea urais kupitia chadema. Mimi hili jambo naliona kwa jicho la pili yaani chama kukua, pia...
1 Reactions
2 Replies
493 Views
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lissu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo Rais. Chukueni hatua...
5 Reactions
105 Replies
4K Views
Naunga mkono uwakilishi ni lazima ulingane na idadi ya watu. Wanzanzibari mfano haijulikani kwanini wawakilishi wao ni wengi sana wakati wapiga kura ni 500k tu. Lakini kuna majimbo mengi yenye...
1 Reactions
3 Replies
553 Views
Sheikh wa mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma akiambatana na viongozi wengine wa BAKWATA mkoa wa Arusha leo, Mei 07.2024 ameongoza sala maalum ya kumuombea kheri Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul...
6 Reactions
59 Replies
3K Views
Wana Bodi, Salaam, naomba kufahamu msimamo au Kauli au Tamko la Kamati Kuu ya CCM kuhusu mgogoro unaoendelea wa bandari, tunakumbuka mgogoro wa ufisadi mkubwa zaidi ya Trilioni 30 uliobanishwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Tumekuwa tukiongozwa na viongozi wenye ahadi nzuri sana na tamu ukiangalia vizuri kabisa unaona maendeleo si haya na kiongozi si ndiye huyu. Lakini katika wakati wa utekelezaji wa ahadi zao sasa...
0 Reactions
3 Replies
442 Views
Kuna mfanyabiashara mmoja anaitwa Kaburu. Mkazi wa Mganza anajitapa hadharani kuwa yeye hupeleka rushwa kwa huyu hakimu. Na sababu wote ni kabila moja la wachaga basi humsikiliza kwa lolote...
0 Reactions
1 Replies
499 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…