Uwakilishi wa ubunge utokane na idadi ya watu

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,641
8,844
Naunga mkono uwakilishi ni lazima ulingane na idadi ya watu. Wanzanzibari mfano haijulikani kwanini wawakilishi wao ni wengi sana wakati wapiga kura ni 500k tu. Lakini kuna majimbo mengi yenye watu wengi sana. Utaratibu wa wabunge inabidi ubadilike. Hili halina Chama ni usawa na haki kwa raia.

View: https://youtu.be/AK-PhmOAASk?si=72B7vx9ZWzOhgjZY
 
huko ni kuchochea migawanyiko zaidi, fujo na wivu tu. haina maana yoyote 🐒
 
Kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri wa Muungano, kila Mkoa wabunge wawili, Wa mkoa & Ke kwa ajili ya Makundi Maalumu
 
Dar kila mtaa utakuwa na mbunge, tabora itakuwa na wabunge wawili tu, nyie ndo mnasababisha bhangi ipigwe marufuku
 
Back
Top Bottom