Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 10,129
- 35,150
Haihitaji nguvu kubwa sana kumalizana na hizi kero za muungano wa kiajabu kiajabu wa Tanganyika na Zanzibar, ni Akili kubwa tu inatosha sana kuufukia huu muungano baada ya miaka mitano tu, hizi blah blah za muungano zitatoweka na hazitafufuka tena. Na hapa nitawapa mbinu chache za kiakili tu.
1. Njooni Zanzibar kwa wingi sana kuja kuishi. Maisha ya kizenji hayana mambo mengi na Fursa zipo nyingi kupita maelezo. Zanzibar ni sehemu ndogo sana kieneo (huenda ni ndogo kuliko mkoa wa Pwani) na yenye watu wachache sana ukilinganisha na mkoa kama Mwanza. Kaya mpya Elfu tano tu kutoka Tanganyika zikijikita Zanzibar kikamilifu zinatosha kuwafyonza wazanzibar, baada ya miaka mitano tu, kitu kinaitika.
2. Njooni Zanzibar kuwekeza shughuli ndogo ndogo, za kati na kubwa. Asili ya wazanzibar ni uvivu na ulegevu, miamba ya uhakika kitanganyika ikitua Unguja au Pemba kuchuuza hata umachinga, mama lishe, kuuza mihogo, nyanya ngoma itavuma na kupasuka mapema.
3. Njooni Zanzibar kuoa au kuolewa. Mabinti wa kizenji kwa sura, ngozi na sauti ni wazuri balaa halafu ukija na gear ya kuoa hawawazi mara mbili mbili. Na wanaume wa kizenji wanapenda mnoo swaga za wanawake wa kitanganyika, kuanzia miswambwanda mpaka uvaaji, na mzanzibar akipenda mwanamke basi anachowaza ni kuoa chap chap.
4. Njooni Zanzibar kuanzisha makanisa. Hawa jamaa wana kiu ya Injili balaa, wanazuga tu kuupinga ukristo kwa sababu ya woga wa kivuli cha kidini lakini kwa walio wengi kwa dhati uislamu kwao ni utamaduni wa kurithi sio imani wanayoifurahia kuishi nayo siku zote. Wakina Mwamposa nawapa siri hii, njooni Zanzibar amvune kondoo wa kutosha!
5. Njooni Zanzibar kuajiriwa serikalini. Nimeshangaa sana kuona utiriri wa wasomi wa Afya wamejazana huko bara bila ajira, huku Zanzibar kuna utiriri wa taasisi za afya hazina watumishi wenye sifa, wanatafutwa na hawapatikani, mtu kutoka bara akitua tu, ajira hiyo hiyo. Usitishwe kwa kuambiwa kuwa ajira sio suala la muungano, nakwambia njoo Zanzibar uajiriwe.
6. Njooni Zanzibar kumiliki nyumba na viwanja. Usibabaishwe kwa kuambiwa kuwa hiyo ni haki ya Mzanzibar tu (kwanza wazanzibar hawapendi kabisa kujenga), leo nakupa siri muhimu, kuna namna, tena kisheria kabisa kumiliki ardhi na nyumba Zanzibar kwa mgeni. Njoo na pesa uone kipi utanyimwa.
7. Njooni Zanzibar (hususani Pemba) mmiliki (kununua au kukodishiwa) mashamba na kulima. Ardhi ipo na ukiwa serious tu utalima na kuuza.
8. Njooni Zanzibar muanzishe migahawa, bar, grocery nk. Wazanzibar wengi wanapenda kula kula mnoo (hawa ndugu zangu wakionjeshwa tu kitimoto kilichopikwa fresh hawaachi milele), ni wanywaji wazuri mnoo wa pombe lakini kisirisiri sana. Hiyo ni fursa mujarabu.
9. Njooni Zanzibar na kushiriki siasa za kinafiki za CCM. Yaani ukiwa mjanja mjanja, akiwa na kadi ya CCM tu, vyeo hivyo vinakuafata. Kwa wale msiojua tu, pale bungeni mbunge mmoja kutoka Tanganyika ni sawa na zaidi ya wabunge kumi wa kutoka Zanzibar. Yaani gharama, nguvu na harakati za kuupata udiwani huko Tanganyika ni kubwa mara dufu ya kuupata ubunge huku Zanzibar.
10. Njooni Zanzibar kiislamu mteke fikra zote za wazanzibar. Wazanzibar wengi wanaamini waislamu waliopo Tanganyika ni ndugu zao wa damu na Zanzibar ni nyumbani kwao kwa asili. Wewe njoo na kanzu, msuli, Balaghashea, kobazi, baibui au weka hata sigda ya kimchongo, utapokelewa kama mfalme.
11. Njooni Zanzibar kusoma elimu ya juu, bila kufeli. Sifa za kuingia vyuo vikuu vya Zanzibar ni rahisi mnoo, maana wazanzibar wengi hawapendi Elimu. Hapa utakuwa Daktari hata kama ulifeli sekondari au haujui kiingereza hata cha kujieleza kwa dakika tano. Huku utasoma, utapata sponsor ya kusoma nje, utakuwa mpaka lecturer nk.
Kwa sasa Zanzibar (hasa Unguja) kuna wamasai wengi sana, walikuja kwa sababu ya shughuli za utalii, wengi wao ndio wameshafika, na miaka kumi mbele watakuwa wametapaa katikati ya Unguja kama wenyeji wa asili ya Zanzibar (ndio maana mamlaka za serikali ya Zanzibar zimeanza kuchukua hatua za kutaka kuwadhibiti kimtindo) na wataanza hata 'kuwafukuza' waunguja na wapemba. Pia kuna askari jeshi wengi sana (hususani Pemba) kutoka Tanganyika walioletwa kuja kuipa nguvu CCM kisiasa, na baadhi yao wameamua 'kuloea' kabisa Zanzibar. Kwa kifupi sana, mtaji wa kuanzia tayari watanganyika mnao, kazi ni kwenu.
Haya wachaga, wasukuma, wasambaa, wamakonde, wakinga, waha fursa hiyo. Njooni Zanzibar haraka tuuzime huu muungano wa kitapeli kwa akili kubwa.