Akiwa mkoani Iringa, Ali Hapi alimjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kufuatia kauli yake ya kuwa Rais Samia hana haki ya kutoa maamuzi ya kinachoendelea bara kwa kuwa yeye ni...
Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amesema Serikali itajenga karakana Kubwa ya kisasa ya kutengeneza Ndege mkoani Kilimanjaro
Mradi huo mkubwa barani Africa utasimamiwa na Chuo Cha Usafirishaji Cha...
Mpaka sasa watu wanaoaminika kwa hoja na weledi ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Comrade Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama Taifa na Ndugu Ali Happy ambaye mpaka sasa sijui cheo chake...
Hebu tumsikilize hapo akiwa Zanzibar Mheshimiwa Lissu, ni dhahiri anaipenda Zanzibar ijitambue na kupata uhuru wake wa kweli badala ya kukubali kutawaliwa na Tanganyika (Dodoma) na kuveshwa...
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na...
Afrika na Tanzania imepokea maelekezo na misaada mingi sana kutoka nchi na mashirika kutoka nchi za Magharibu lakini umaskini bado umegandamana na ngozi zetu.
Hii inaonyesha kuwa hii sio misaada...
Tunaomba msaada mkuu wetu wa Mkoa, nafahamu jinsi ulivyo na moyo wa kuwasaidia wananchi. Tanfom wamejenga ukuta kwenye eneo Lao jipya la moshono losirway, wamejaza udongo barabarani zaidi ya miezi...
CCM ni baba wa vyama vyote vya siasa Tanzania. Vyama vyote vinaitazama CCM kama kioo chao. Iwe kwenye jema au baya. Mara nyingi huko CHADEMA kukitokea mambo ya kipuuzi hukimbilia kujitetea kuwa...
Salaam Wakuu,
Kwakuwa Amos Makalla anaonekana ndo mtu anayefaa kuwa Msemaji na Mwenezi wa CCM, Namshauri afanye kazi ya kusaidia Rais Samia ili watu wajue nini rais anafanya. Kama hajui...
Kati ya mambo mengi ambayo kwayo Tundu Lissu atakumbukwa nayo ni ushujaa wake katika kutetea ukweli. Lissu hana unafiq na yupo tayari hata kufa ili kutetea ukweli. CHADEMA tuna hazina kubwa sana...
Wakuu neno ukiukwaji wa haki unaweza kulichukulia kirahisi kama haijakutokea wewe. Ila ni kitu kinachoweza kukuvuruga mno kikitokea.
Hayati Lowassa ni miongoni wanajua ladha ya hilo neno kwa...
Katika mjadala wa bajeti ya wizara ya uchukuzi 2024/25 baadhi ya wabunge wanalalamika tozo ya warfage kukusanywa na TRA. Wanataka sheria ibadilike ili tozo hiyo ikusanywe na TPA.
Ikumbukwe kuwa...
Unamshauri nini au una maoni gani juu ya mtu yoyote anayekusudia kugombea nafasi yoyote ya uongozi nchini kufuatia uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa na Serikali kuu?
Unamshauri nini azingatie na...
Kumekuwa na manung'uniko mengi linapokuja suala la muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar huku kila upande ukionesha kutoridhishwa na muungano huu.
Suala la muungano tangu kuanza kwa kwake mpaka...
DC Shaka awabana 2 Wengine 48 watafutwa na Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi wilayani kilosa limewatia mbaroni watu wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Msowero A, Petro Sanga (Paroko)...
MAPENDEKEZO KUHUSU SERA NA KAULI MBIU KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA - 2024 MKOA WA DAR ES SALAAM ( WILAYA YA KINONDONI )
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
PENDEKEZO LA KAULI MBIU...
Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia...
Hii tafsiri ya Dr Elli wa Chomoza ya Clouds tv kuhusu Upumbavu nimeichukulia kwa usahihi kabisa hususani kwa Wanasiasa
Kijana wangu Sam Sasali muulize Dr Elli, je CHAWA ni nani?
Nasubiri...
Nilijaribu kupitia Mitandaoni kuangalia kinachoendelea nakugundua Lissu ana Ubongo wa kipekee sana. Anaijua hii nchi na watu wake tofauti na tunavyodhani, ndio maana kauli zake hutafsriwa negative...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.