Yalisemwa na Prof Shivji (9 Apr 2024, SUA, Morogoro) kuhusiana na athari kwa taifa kutokana na kukosekana kwa vijana wenye kukosa hoja na hata uthubutu wa kuhoji:
Kuepuka andiko hili kuwa refu...
SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imetenga TZS 7.3BL kwa ajili ya kufungua barabara za Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida...
17 February 2023
Mzee John Cheyo - Hili la vyama vinavyojiita Chama Tawala na Chama Kikubwa kuteka agenda za nchi halikubaliki
Mwenyekiti wa chama cha UDP Mh. John Cheyo alalamika siasa...
Tar 2 May Mh Lissu akihutubia Mkoani Iringa alitoa shutuma za Rushwa kwa Mafumbo, lakini alikua akimlenga Mh. Joseph Mbilinyi, lengo lake kwenda Iringa ni Kumshika Mkono Rafiki yake Peter Msigwa...
Inadaiwa kitetesi kuwa kamati Kuu ya Chadema itajadili Maoni ya makamu Mwenyekiti wa CCM komredi Kinana Wakati wowote kuanzia sasa kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi
Kwa sasa kila taasisi yaani Mnyika...
Niseme ukweli hawa ndio mawaziri wanaopaswa kuwa ofisini. Sio wale wa kuhudhuria mikutano na upigaji.
Natamani kuona hata nafasi za uwaziri ziwe ni through competitive interview, cream’Tanzania...
Kuna watu wanajaribu kuchukulia kauli za Lissu kukerwa na aina hii ya muungano kuwa eti anajaribi kuleta mgawanyiko wa Utanganyika na Uzanzibari.
Kiukweli kabisa kama ukifuatilia miongoni mwa...
Kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia hili swala la kugombea Urais wa Tanzania kupitia vyama vya upinzani bado sijapata jibu la moja kwa moja.
Unaona kabisa kuna wanasiasa wako serious kabisa kuwa...
Msikilize hapa aliyewahi kuwa Waziri wa ardhi JMT
Ni kwamba watu weusi hatukujifunza kabisa kuwa ukoloni, utumwa na kutawaliana kimabavu kuwa ni kitu kibaya.
Kumbe wazungu na waarabu walikuwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Komred Abdulrahman Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma.
#KaaKaribunaRuningayako
#ChamaImara
#KaziIendelee
KADA WA CCM AMJIA JUU MWENYEKITI WA UVCCM KAGERA.
Kada wa CCM kutoka wilaya ya Muleba Ndg,Mohamed Ismail wakati akizungumza na Waandishi wa habari amemtaka Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera...
Kifupi Zanzibar hawatupendi wa Tanganyika kwa kudhani wao ni waarabu koko wa oman (fikra za kimaskini)
Sasa kuliko kuleteana shida huko mbele ya safari, naomba serikali ifikirie kuuvunja huu...
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC.
SOLUHISHO ya vita ile ni...
Kuna kelele mingi huko Congo zikilalamika Idara ya Uhamiaji Tanzania kukamata na kuzuia wanajeshi wa M23 na viongozi wao akiwemo Eric Nkuba na kuwarejesha kwenye nchi yao.
Vyombo vya habari vya...
Nimelala nimeota wazanzibari wameanza kudai kujitenga baada ya Mama kuondoka madarakani na Mzee Smile amegeuziwa kibao na wadanganyika kuwa yeye ndiye ameifikisha Tanzagiza hapa ilipofikia ( nchi...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa Aprili 26, 1964 ikiwa ni Muungano wa Mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambapo Jamhuri hizi mbili ziliingia...
Nimekuwa Nafuatilia sana Mijadala juu ya UPATIKANAJI wa KATIBA MPYA NCHINI.Miongoni mwa Watu ambao nilitamani kuwasikia WAKIIPAMBANIA KATIBA MPYA ni pamoja na Muanzilishi wa MCHAKATO ule Mh sana...
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UNAVYOZIDI KUWA WA KIPEKEE NA MFANO WA KUIGWA DUNIANI KOTE.
Na Bwanku M Bwanku.
Kila ifikapo Aprili 26 kila mwaka, Tanzania huadhimisha siku Maalum ya Muungano...
Narudi nyumbani baada ya Hustles za hapa na pale. Naombeni wenye uelewa kuhusu Hili jambo mnifahamishe. Je, Kuna uwezekano wa KUHOJI uhalali wa MUUNGANO WA TANGANYIKA na ZANZIBAR MAHAKAMANI?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.