Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,502
- 220,167
Hii maana yake ni kwamba, Kila jambo litakaloanzishwa na Chadema ndilo litakalojadiliwa, Chama kimekuwa na nguvu ya Ushawishi ya kutisha kwa sasa.
Huu ndio muda wa kusukuma mbele Ajenda za Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, Mnasikilizwa na kila Mtanzania, Kikwete alisema ili CCM ianguke labda yatokee Maajabu, sasa haya ndio Maajabu yenyewe, Kwa muda mfupi kabisa Game imechange vibaya sana! Mada zote za Nchi ni Chadema tu!
Naambiwa kikosi chenu Kipana kina Watu watano tu, yaani watu watano wamekaa chini wakaua kabisa ccm mioyoni mwa wananchi na kuipandikiza Chadema kirahisi mno! Nilifikiria kuwataja Watu hao Majasusi wa Mambo ya kisiasa walioua ccm kwa siku 30 tu, Lakini naona ngoja niminye kwanza kwa sababu za Kiusalama, Ila kiukweli CHADEMA Mungu anawaona! Wallah tena!! Haiwezekani Aiseeee!
Mungu Ibariki Chadema