Kila Mbunge anatakiwa kuwakilisha wastani wa watu wangapi bungeni?

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
524
998
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana juu ya uwakilishi wa kila Mbunge mjengoni. Sheria inasema kuwa kila Mbunge anatakiwa kuwakilisha wastani wa watu 100,000 katika Jimbo lake.

Nashauri tufuate sheria na tuache short cut ambapo maeneo mengine Mbunge anawakilisha chini ya Idadi ya wananchi 100,000.

Tuache kabisa pia kuongeza majimbo ya uchaguzi inayopelekea kuongeza gharama kwa Serikali.

Pia zile Halmashauri za miji zilizoanzishwa kisiasa mfano Tarime, Bunda, Kahama, Geita n.k. zifutiwe Wabunge na zibaki na wabunge kama ilivyokuwa hapo awali.
 
Kila Mkoa utoe mbunge mmoja pekee
 
Wastani wa 100,000.

Tupo watanzania takribani 60M

60M÷100,000 = 60

Tulitakiwa kuwa na wabunge wasiozidi 100.

Cha kushanganza tuna wabunge 300+

Huko Zanzibar kuna wabunge wanawakilisha watu chini ya 3,000. Wananchi tunalipishwa kodi na tozo lukuki kuwahudumia wabunge wengiii wasio na tija.

This is Tanzania.
 
In short mwamba hujui hesabu! Yaani 60M ÷ 100,000 unapata wabunge 60?
 
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana juu ya uwakilishi wa kila Mbunge mjengoni. Sheria inasema kuwa kila Mbunge anatakiwa kuwakilisha wastani wa watu 100,000 katika Jimbo lake.

Nashauri tufuate sheria na tuache short cut ambapo maeneo mengine Mbunge anawakilisha chini ya Idadi ya wananchi 100,000.

Tuache kabisa pia kuongeza majimbo ya uchaguzi inayopelekea kuongeza gharama kwa Serikali.

Pia zile Halmashauri za miji zilizoanzishwa kisiasa mfano Tarime, Bunda, Kahama, Geita n.k. zifutiwe Wabunge na zibaki na wabunge kama ilivyokuwa hapo awali.
 
Attachments

  • Electoral systems .pdf
    1.4 MB · Views: 2

Zanzibar kuna majimbo 50, bado viti maalum
 
Bora kila wilaya ingekuwa inatoa mbunge mmoja tu. Kwa Tanganyika wilaya zipo 139
 
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana juu ya uwakilishi wa kila Mbunge mjengoni. Sheria inasema kuwa kila Mbunge anatakiwa kuwakilisha wastani wa watu 100,000 katika Jimbo lake.

Nashauri tufuate sheria na tuache short cut ambapo maeneo mengine Mbunge anawakilisha chini ya Idadi ya wananchi 100,000.

Tuache kabisa pia kuongeza majimbo ya uchaguzi inayopelekea kuongeza gharama kwa Serikali.

Pia zile Halmashauri za miji zilizoanzishwa kisiasa mfano Tarime, Bunda, Kahama, Geita n.k. zifutiwe Wabunge na zibaki na wabunge kama ilivyokuwa hapo awali
 
Ndiyo haya mambo yanayoleta ubishi wa serikali moja au serikali tatu za Muungano. Sasa,niambie,mbunge mmoja akiwakilisha watu 100,000,Zanzibar itakuwa na wabunge wangapi?
Nimeshafanya hesabu. Population ya Zsnzibar ni two million. Kwa hiyo Wabunge wa Zanzibar wanapaswa kuwa 20( ishirini) tu. Wabunge wa Zanzibar sasa hivi wapo wangapi?
And yet tunafanya mjadala wa Taifa wa Katiba,mjadala unavunjika,na tatizo kubwa,tatizo lote,ni kwamba watu wengi e wanataka mbunge mmoja awakilishe watu 1000( elfu moja).
 
Back
Top Bottom