Ni wakati sasa wa kubadili Falsafa za Mwalimu Nyerere na kuchunguza na kuhoji mienendo yake

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,871
6,513

Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.

Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.

Kuna masuala mengi sana yanaonesha huyu mzee wtu hakuwa anafanya mambo kwa maslahi na ustawi wa taifa bali ni aidha kwa maelekezo, ubinafsi, hofu ama ajenda anazozijua mwenyewe.

A757CA85-4D5D-495A-AC28-62279685C427.jpeg

Suala la Muungano linamuweka sana uchi mzee wetu huyu na ndo kama legacy aliyotuachia basi warithi wake wote hawataki kugusa wala kubadili utafikiri ndo kiapo chao.

Julius ametuachia huu mgogoro mkubwa sana na hajawahi kuutolea ufafanuzi wa kitaalamu na kisheria zaid ya kutumia nguvu.

8C40E11E-63E9-490E-9E7D-3AA599C4ACCD.jpeg

Kwa waliosoma kitabu cha “The dark side of Nyerere’s legacy” by Ludovick Simon Mwijage mtakubaliana nami kuwa sasa Ni wakat wa kuanza kujadili mienendo na maamuzi ya mwalimu na kuondoa dhana ya utakatifu wa bila kuhoji.

Ni wakati wa kubadili FALSAFA NA MITAZAMO YA MWALIMU
 
Attachments

  • D98C73F5-9B3D-4D09-9451-125DC3D318F7.jpeg
    D98C73F5-9B3D-4D09-9451-125DC3D318F7.jpeg
    24.9 KB · Views: 4
View attachment 2988212

Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.

Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.

Kuna masuala mengi sana yanaonesha huyu mzee wtu hakuwa anafanya mambo kwa maslahi na ustawi wa taifa bali ni aidha kwa maelekezo, ubinafsi, hofu ama ajenda anazozijua mwenyewe.

Suala la Muungano linamuweka sana uchi mzee wetu huyu na ndo kama legacy aliyotuachia basi warithi wake wote hawataki kugusa wala kubadili utafikiri ndo kiapo chao.

Julius ametuachia huu mgogoro mkubwa sana na hajawahi kuutolea ufafanuzi wa kitaalamu na kisheria zaid ya kutumia nguvu.

Kwa waliosoma kitabu cha “The dark side of Nyerere’s legacy” by Ludovick Simon Mwijage mtakubaliana nami kuwa sasa Ni wakat wa kuanza kujadili mienendo na maamuzi ya mwalimu na kuondoa dhana ya utakatifu wa bila kuhoji.

Ni wakati wa kubadili FALSAFA NA MITAZAMO YA MWALIMU
Hii ni hakika..

Kuna misingi ya miungu ya uongo na ushetani wenyewe umejengwa ktk nchi yetu.

Hii madhabahu (altar) ya miungu na ushetani huu uko kwenye ikulu yetu kwenye "kiti cha u - Rais"..

Thank God, kwamba sasa watu tunaanza kuuona ukweli huu kwa njia dhahiri kabisa..

Na vijana wa kizazi hiki hatuko tayari kuona hii kitu inaendelea..

Tuko tayari kubomoa misingi (madhabahu) za kishetani zilizojengwa ktk nchi yetu kwa kutumia silaha za masafa marefu toka mbinguni ktk ulimwengu wa roho..
 
Mungu mbariki Mwl. Nyerere
Mungu mbariki Jaji Warioba

Zanzibar ni nchi ina rais wake na katiba yake
Mzanzibari anaigawa Tanganyika ...hii statement kuku na mifugo wengine wote wa Tanganyika wameielewa, je kuna mwanachama wa chama cha siasa hajaielewa?
 
Mzee Warioba ni hazina kwa hili Taifa. Rais wa JMT ni Rais wa Tanganyika ni kutoka nchi ya Zanzibar. Madaraka yake yamethibitiwa na kubadillishwa na katiba ya Zanzibar kwa nguvu japo hawana hayo mamlaka.
 
View attachment 2988212

Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.

Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.

Kuna masuala mengi sana yanaonesha huyu mzee wtu hakuwa anafanya mambo kwa maslahi na ustawi wa taifa bali ni aidha kwa maelekezo, ubinafsi, hofu ama ajenda anazozijua mwenyewe.

View attachment 2988271

Suala la Muungano linamuweka sana uchi mzee wetu huyu na ndo kama legacy aliyotuachia basi warithi wake wote hawataki kugusa wala kubadili utafikiri ndo kiapo chao.

Julius ametuachia huu mgogoro mkubwa sana na hajawahi kuutolea ufafanuzi wa kitaalamu na kisheria zaid ya kutumia nguvu.

Kwa waliosoma kitabu cha “The dark side of Nyerere’s legacy” by Ludovick Simon Mwijage mtakubaliana nami kuwa sasa Ni wakat wa kuanza kujadili mienendo na maamuzi ya mwalimu na kuondoa dhana ya utakatifu wa bila kuhoji.

Ni wakati wa kubadili FALSAFA NA MITAZAMO YA MWALIMU
Weeee!
Huyo ni Mtakatifu wao.
Huwa haguswi, hakosolewi...
Madudu yake ni mengi kuliko mazuri
 
Kwenda zako huko. Utakua ni kijakazi wa ukoloni mambo leo. Uhuru wa kujieleza nchi umejaa tu siku zote ila wanachotaka vibepari uchwara ni kua huru kufanya ukuwadi kwa wageni uchumi wa nchi yetu. Mbona kina lissu wanaropoka tu mengi ya uongo wala hayaongezi hali bora ya umma wa wananchi wetu. Sera ya mwalimu ilikua uhuru na maendeleo ya umma wa wananchi na sio kujenga tabaka la wachache wenye nacho na hivyo kua tawala. Sasa hapo unataka kibadilishwe kitu gani.
 
Huyu Mzee muacheni tu, mtu alikua anaongoza nchi kipindi serikali Haina pesa, hakuna mawasiliano, barabara hakuna, wananchi hawana elimu, magonjwa kama polio, surua, kwashakior yanamaliza wananchi, bado kulikua na ukabila.... achilia mbali ndo rais aliyepigana vita akiwa madarakani.....Aliyofanya yanatosha tena kiroho safi akaachia uongozi bila kulazimishwa, akampa mzanzibar tena dini tofauti..... Mlitaka Nini kwake

Au kisa siku izi kazi ni kuzurura tu na ndege mnaona urais ni jambo jepesi
 
Mungu mbariki Mwl. Nyerere
Mungu mbariki Jaji Warioba

Zanzibar ni nchi ina rais wake na katiba yake
Mzanzibari anaigawa Tanganyika ...hii statement kuku na mifugo wengine wote wa Tanganyika wameielewa, je kuna mwanachama wa chama cha siasa hajaielewa?
🙏🏾
 
Kwenda zako huko. Utakua ni kijakazi wa ukoloni mambo leo. Uhuru wa kujieleza nchi umejaa tu siku zote ila wanachotaka vibepari uchwara ni kua huru kufanya ukuwadi kwa wageni uchumi wa nchi yetu. Mbona kina lissu wanaropoka tu mengi ya uongo wala hayaongezi hali bora ya umma wa wananchi wetu. Sera ya mwalimu ilikua uhuru na maendeleo ya umma wa wananchi na sio kujenga tabaka la wachache wenye nacho na hivyo kua tawala. Sasa hapo unataka kibadilishwe kitu gani.
Kila aliyepingana naye alifukuzwa serikalini, kwenye chama na Aliwekwa kizuizini au kupewa keai za uhaini.

Hakuna siri tena
 
Huyu Mzee muacheni tu, mtu alikua anaongoza nchi kipindi serikali Haina pesa, hakuna mawasiliano, barabara hakuna, wananchi hawana elimu, magonjwa kama polio, surua, kwashakior yanamaliza wananchi, bado kulikua na ukabila.... achilia mbali ndo rais aliyepigana vita akiwa madarakani.....Aliyofanya yanatosha tena kiroho safi akaachia uongozi bila kulazimishwa, akampa mzanzibar tena dini tofauti..... Mlitaka Nini kwake

Au kisa siku izi kazi ni kuzurura tu na ndege mnaona urais ni jambo jepesi
Umepata kujua DARK SIDES zake?

Au media zilikuwa hakuna mkapumbazwa.

Zidumu fikra za mwenyekiti
 
Back
Top Bottom