Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
58,068
98,596
Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike.

Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lissu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima kubwa?

Hivi ni busara kweli kukamua watu maskini wakuchangie gari wakati wao hata baiskeli hawana? Je inawezekana vipi chama kikubwa kama CHADEMA kishindwe kumpatia gari Lissu? Maswali ni mengi hebu naomba wa ufafanuzi kwa haya kwanza.
 
Ni kwamba Lissu alitaka Kulitengeneza hilo gari ikiwa ni pamoja na Kubadilisha muonekano wake.

Ila watu wakamshauri kuwa akitengeneza Gari hilo watakosa kuona kumbukumbu adhiim..

Ya maisha yake (Yaani kupigwa risasi), kwa hiyo wanaharakati wengi wakapendekeza Lisirekebishwe chochote ila anunue Jingine na Ndiyo maana Wanaharakati kama kina Maria wakaanzisha harambee maana kununua gari jingine halikuwa Wazo la Lissu
 
Huko kwenye Baiskeli umeenda mbali sana,
Kuna wengine hata kula yao ni ya tabu.
Mwingine ni bodaboda tena boda ni ya boss
Anapiga domo hadi udenda unamtoka kuhamasisha wenzake wamchangie lissu

Ujinga wa hali ya juu, pangu pakavu hata mchuzi sina natia maji tena maji ya kisima halafu nimchangie tajiri!
Lissu akionesha bank statement yake sidhani kama anakosa hata 1B
 
Ni kwamba Lissu alitaka Kulitengeneza hilo gari ikiwa ni pamoja na Kubadilisha muonekano wake..
Ila watu wakamshauri kuwa akitengeneza Gari hilo watakosa kuona kumbukumbu adhiim..

Ya maisha yake (Yaani kupigwa risasi), kwa hiyo wanaharakati wengi wakapendekeza Lisirekebishwe chochote ila anunue Jingine na Ndiyo maana Wanaharakati kama kina Maria wakaanzisha harambee maana kununua gari jingine halikuwa Wazo la Lissu
Ok kwahiyo litakua makumbusho kwa kumbukumbu? Na gari jipya atachangiwa
 
Mwingine ni bodaboda tena boda ni ya boss
Anapiga domo hadi udenda unamtoka kuhamasisha wenzake wamchangie lissu

Ujinga wa hali ya juu, pangu pakavu hata mchuzi sina natia maji tena maji ya kisima halafu nimchangie tajiri!
Lissu akionesha bank statement yake sidhani kama anakosa hata 1B
Ukisikia unazima kwa jirani wakati kwako kunaungua,hiyo ndio tafsiri yake sasa.
 
Mwingine ni bodaboda tena boda ni ya boss
Anapiga domo hadi udenda unamtoka kuhamasisha wenzake wamchangie lissu

Ujinga wa hali ya juu, pangu pakavu hata mchuzi sina natia maji tena maji ya kisima halafu nimchangie tajiri!
Lissu akionesha bank statement yake sidhani kama anakosa hata 1B
Unateseka Bure

Yesu alisema " aliyenacho ataongezewa"
 
Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima hautapike.

Sasa na mimi namuenzi Lisu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lisu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima kubwa?

Hivi ni busara kweli kukamuwa watu maskini wakuchangie gari wakati wao hata baiskeli hawana? Je inawezekana vipi chama kikubwa kama Chadema kishindwe kumpatia gari Lisu? Maswali ni mengi hebu naomba wa ufafanuzi kwa haya kwanza.
sisi wanyonge Mwamba tunamnunulia mpya hayo maswali yako kamuulize jaji mkuu wa ccm
 
Back
Top Bottom