Kupitia maono ya Rais Samia kuwabeba Wakandarasi wazawa nayaona Mapinduzi ya Uchumi ya Tanzania kupitia sekta ya ujenzi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,108
49,811
Rais Samia ameamua Kuwabeba Wakandarasi wazawa mabegani mwake Ili kuwafanya matajiri ambao watakuwa injinia ya uchumi Nchini.

Hayo yamebainishwa na Waziri Bashungwa wakati wa kikao cha Mashauriano cha kutatua changamoto za Wakandarasi wa ndani.

Katika kufanikisha azma hiyo ameamua kufanya yafuatayo;

1/ Kupandisha thamani ya Miradi ambayo inaweza kutekelezwa na Wakandarasi wa ndani kutoka Bilioni 10 Hadi Bilioni 50.

2/ Kubadili Sheria ya Local Content ambayo iliwanyima fursa ya kuwa main contractor hivyo Wakandarasi wa ndani watakuwa na uwezo wa kuomba kazi na ku sub Kwa Wakandarasi wageni.

3/ Serikali itapunguza na kufuta vigezo vilivyokuwa vinawanyima fursa Kwa visingizio vya hawana uwezo

4/ Serikali itaingia ubia na Mabenki Ili yatoe uwezeshaji wa kifedha Kwa Miradi ya Wakandarasi wa ndani Kwa utaratibu maalumu Ili kuwawezesha watekeleze kazi walizopewa.

5/ Kutoa upendeleo maalumu Kwa wakandarasi wanawake, Vijana na Vikundi Kwa kuwatengea Asilimia 30% ya kazi zote.

6/ Kuandaa Utaratibu wa kuwakuza Wakandarasi wa ndani Kwa kuwajengea uwezo wa kitaalamu na kifedha Ili waweze kuvuka mipaka.

7/Kuanzisha Kwa Samia Bond Kwa Ajili ya kuwawezesha wakandarasi wazawa kutoa Fedha za kutatua kero zao.

View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1750174256330064058?t=AMgnJvOpwmnuMIUsISrPUw&s=19

Kwa Hatua hizo Samia anakuwa Rais wa kwanza kutekeleza Kwa vitendo azma ya Waasisi wa Nchi hii ya kuhama kutoka kwenye uhuru wa bendera na kuwa na uhuru wa Kiuchumi.

Inasikitisha sana kuona Asilimia 61% ya thamani ya Miradi yote Wanapewa wageni na Asilimia 39% tuu ndio wakandarasi Wazawa.Hao wageni wako 800 na Wazawawako zaidi ya 14,000.

MIKAKATI YA RAIS SAMIA KUINUA MAKANDARASI WAZAWA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anataka kuona ushiriki mkubwa zaidi wa Makandarasi wazawa katika kazi za utekelezaji wa ujenzi wa miradi nchini.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 21 Novemba, 2023 katika Mkutano wa mashauriano kati ya Serikali na Makandarasi wazawa na Washauri elekezi wa ndani jijijini Dodoma, kujadili nafasi yao katika utekelezaji wa miradi.

Bashungwa amesema Wizara ya Ujenzi, kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), inaendelea kutenga miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara kwa ajili ya Makandarasi wa ndani kwa lengo la kuwasaidia Makandarasi hao kukua na kupata uzoefu.

“Katika mwaka wa fedha 2023/204, jumla ya miradi minne ya barabara yenye urefu wa kilometa 50 kila moja zimetengwa kwa ajili ya makandarasi wa ndani tu, kwa hiyo kilometa 200 zitajengwa na wazawa, hii ni fursa kubwa ya kuwasaidia makadarasi”, amesema Bashungwa.

Aidha, Bashungwa amesisitiza kuwa katika mwaka wa fedha 2023/2024 Jumla ya kilometa 20 za barabara zimetengwa kwa ajili ya makandarasi wanawake, ambapo zitagawanywa katika vipande vya kilometa tano tano, na kazi hizo zitashindanishwa kwa makampuni ya wanawake peke yao, hii inafanya jumla ya km 220 kujengwa na makandarasi wazawa kwa mwaka 2023/24.

Bashungwa ameongeza kuwa kazi za matengenezo ya barabara zinazosimamiwa na TANROADS kwa kutumia fedha za Mfuko wa Barabara zenye thamani ya Shilingi Bilioni 600 zitatekelezwa na Makandarasi wa ndani tu katika mikoa yote 26 nchini.

“Katika Mwaka wa fedha 2023/2024 kazi zote za matengenezo ya barabara kwa mikoa yote 26 nchini, Rais Samia Suluhu Hassan ameamua kutekelezwa na Makadarasi wa ndani”, amesema Bashungwa.

Halikadhalika, Bashungwa amefafanua kuwa Sheria ya Ununuzi wa Umma imefanyiwa marekebisho kwa kuongeza kiwango cha thamani ya mradi ambao utatekelezwa na Makandarasi wa ndani tu, bila kushindanishwa na Makandarasi wa nje.

Dhima kuu ya mkutano huu ni kujadili na kudadavua mikakati mbalimbali kati ya Serikali na wadau wa Sekta ya Ujenzi kuhusu kuwajengea uwezo makandarasi wazawa na washauri elekezi.

Screenshot 2023-11-23 115210.png

My Take
Hongera sana Rais Samia Kwa Maono haya ambayo yataleta mapinduzi makubwa ya uchumi na kuwezesha uchumi wa Nchi yetu Kuendesha na Watanzania na Kuzalisha Matajiri wengi ambao ndio watakuwa walipakodi wakubwa na kuacha kukimbizana na Maskini.

Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu ameongeza kiwango cha thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na wakandarasi wazawa kutoka shilingi bilioni 10 hadi shilingi bilioni 50 ili kuwawezesha wazawa kunufaika na kuwafanya wawe walipakodi wakubwa kwa maendeleo ya nchi. Mheshimiwa Rais amebadili sheria kuwaruhusu Makandarasi wazawa kupata miradi mikubwa kama main contractor na wao kushirikisha wageni. Huu ni uthubutu na Mageuzi makubwa sana.

20231123_161321.jpg
 
uzalendo, uthubutu, umadhubuti na umahiri wa Dr. SSH katika kazi, utatufikisha pazuri zaidi kama nchi kadiri muda unavyokwenda...
 
Hili la kuchukua pesa zetu kwenda kufaidisha watu wa Nje halikubaliki.

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1727615213703242006?t=6girX_v84owwIhF-xr9n-Q&s=19

Yes,
si sawa hata kidogo.

Hivi sasa tunao makandarasi wa kutosha wazalendo nchini wenye sifa, vigezo na umahiri katika kazi. Hatuna sababu tena ya kukumbatia makandarasi wa ng'ambo wenye gharama kubwa, hali ya kua kazi zao ni zakawaida tu, ambazo zingeweza kufanywa pengine vizuri zaidi na makandarasi wetu wazawa tena kwa gharama kidogo...

Shukrani sana kwa mh. Rais.Dr SSH kuliona hili, kupitia waziri makini sana wa fedha Dr. Mwigulu na kuchukua hatua kwa haraka...

Mungu Ibarika Tanzania, Wananchi na Viongozi Wake Wote.
 
Rais Samia ameamua Kuwabeba Wakandarasi wazawa mabegani mwake Ili kuwafanya matajiri ambao watakuwa injinia ya uchumi Nchini.

Hayo yamebainishwa na Waziri Bashungwa wakati wa kikao cha Mashauriano cha kutatua changamoto za Wakandarasi wa ndani.

Katika kufanikisha azma hiyo ameamua kufanya yafuatayo;

1/ Kupandisha thamani ya Miradi ambayo inaweza kutekelezwa na Wakandarasi wa ndani kutoka Bilioni 10 Hadi Bilioni 50.

2/ Kubadili Sheria ya Local Content ambayo iliwanyima fursa ya kuwa main contractor hivyo Wakandarasi wa ndani watakuwa na uwezo wa kuomba kazi na ku sub Kwa Wakandarasi wageni.

3/ Serikali itapunguza na kufuta vigezo vilivyokuwa vinawanyima fursa Kwa visingizio vya hawana uwezo

4/ Serikali itaingia ubia na Mabenki Ili yatoe uwezeshaji wa kifedha Kwa Miradi ya Wakandarasi wa ndani Kwa utaratibu maalumu Ili kuwawezesha watekeleze kazi walizopewa.

5/ Kutoa upendeleo maalumu Kwa wakandarasi wanawake, Vijana na Vikundi Kwa kuwatengea Asilimia 30% ya kazi zote.

6/ Kuandaa Utaratibu wa kuwakuza Wakandarasi wa ndani Kwa kuwajengea uwezo wa kitaalamu na kifedha Ili waweze kuvuka mipaka.

Kwa Hatua hizo Samia anakuwa Rais wa kwanza kutekeleza Kwa vitendo azma ya Waasisi wa Nchi hii ya kuhama kutoka kwenye uhuru wa bendera na kuwa na uhuru wa Kiuchumi.

Inasikitisha sana kuona Asilimia 61% ya thamani ya Miradi yote Wanapewa wageni na Asilimia 39% tuu ndio wakandarasi Wazawa.Hao wageni wako 800 na Wazawawako zaidi ya 14,000.

MIKAKATI YA RAIS SAMIA KUINUA MAKANDARASI WAZAWA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anataka kuona ushiriki mkubwa zaidi wa Makandarasi wazawa katika kazi za utekelezaji wa ujenzi wa miradi nchini.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 21 Novemba, 2023 katika Mkutano wa mashauriano kati ya Serikali na Makandarasi wazawa na Washauri elekezi wa ndani jijijini Dodoma, kujadili nafasi yao katika utekelezaji wa miradi.

Bashungwa amesema Wizara ya Ujenzi, kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), inaendelea kutenga miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara kwa ajili ya Makandarasi wa ndani kwa lengo la kuwasaidia Makandarasi hao kukua na kupata uzoefu.

“Katika mwaka wa fedha 2023/204, jumla ya miradi minne ya barabara yenye urefu wa kilometa 50 kila moja zimetengwa kwa ajili ya makandarasi wa ndani tu, kwa hiyo kilometa 200 zitajengwa na wazawa, hii ni fursa kubwa ya kuwasaidia makadarasi”, amesema Bashungwa.

Aidha, Bashungwa amesisitiza kuwa katika mwaka wa fedha 2023/2024 Jumla ya kilometa 20 za barabara zimetengwa kwa ajili ya makandarasi wanawake, ambapo zitagawanywa katika vipande vya kilometa tano tano, na kazi hizo zitashindanishwa kwa makampuni ya wanawake peke yao, hii inafanya jumla ya km 220 kujengwa na makandarasi wazawa kwa mwaka 2023/24.

Bashungwa ameongeza kuwa kazi za matengenezo ya barabara zinazosimamiwa na TANROADS kwa kutumia fedha za Mfuko wa Barabara zenye thamani ya Shilingi Bilioni 600 zitatekelezwa na Makandarasi wa ndani tu katika mikoa yote 26 nchini.

“Katika Mwaka wa fedha 2023/2024 kazi zote za matengenezo ya barabara kwa mikoa yote 26 nchini, Rais Samia Suluhu Hassan ameamua kutekelezwa na Makadarasi wa ndani”, amesema Bashungwa.

Halikadhalika, Bashungwa amefafanua kuwa Sheria ya Ununuzi wa Umma imefanyiwa marekebisho kwa kuongeza kiwango cha thamani ya mradi ambao utatekelezwa na Makandarasi wa ndani tu, bila kushindanishwa na Makandarasi wa nje.

Dhima kuu ya mkutano huu ni kujadili na kudadavua mikakati mbalimbali kati ya Serikali na wadau wa Sekta ya Ujenzi kuhusu kuwajengea uwezo makandarasi wazawa na washauri elekezi.

My Take
Hongera sana Rais Samia Kwa Maono haya ambayo yataleta mapinduzi makubwa ya uchumi na kuwezesha uchumi wa Nchi yetu Kuendesha na Watanzania na Kuzalisha Matajiri wengi ambao ndio watakuwa walipakodi wakubwa na kuacha kukimbizana na Maskini.

Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu ameongeza kiwango cha thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na wakandarasi wazawa kutoka shilingi bilioni 10 hadi shilingi bilioni 50 ili kuwawezesha wazawa kunufaika na kuwafanya wawe walipakodi wakubwa kwa maendeleo ya nchi. Mheshimiwa Rais amebadili sheria kuwaruhusu Makandarasi wazawa kupata miradi mikubwa kama main contractor na wao kushirikisha wageni. Huu ni uthubutu na Mageuzi makubwa sana.
Tatizo halipo kwa wakandarasi tatizo hao wenye kuwapa tenda wakandarasi na kuchukua fungu lao mwisho wa siku barabara inajengwa kama msingi wa nyumba kutumia mashepe na majembe + mikokoteni wakichoka wanaingia mitini hakuna wa kumuuliza!
 
Sio kweli bwana,tatizo ni funding kutoka Kwa wakandarasi na perception kwamba hawawezi kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom