Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefuatilia kwa karibu ziara ya Lissu mkoani Singida, kwa asilimia 96 amekuwa akiongea kwa kinyaturu wakati shughuli anayofanya ni rasmi iliyosajiliwa. Mwanasiasa akiishiwa hoja hukimbilia...
2 Reactions
75 Replies
2K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) Juni 15, 2024 amefunga rasmi mafunzo ya mwaka mmoja ya Ukamanda na Unadhimu katika Mahafali ya 38 ya Chuo cha Ukamanda na...
2 Reactions
0 Replies
546 Views
  • Closed
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini...
185 Reactions
10K Replies
1M Views
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka huko Moshi Mjini Bado haijafahamika kama naye ataitisha kikao na Waandishi wa Habari wa Channel 10 na TBC nyumbani kwake ili kumtukana Mbowe au La
6 Reactions
45 Replies
1K Views
Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha? Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana? Na kama ni ndio tatizo...
15 Reactions
78 Replies
3K Views
Ukifuatilia kwa makini mgogoro wa sheikh Kundecha na mwanaharakati Maria Sarungi utagundua Chanzo chake ni Artificial intelligence ( cartoon) Papa Francisco amewaasa Biden na wenzake pale G7...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Taarifa yake hii hapa ===== Masoud Kipanya ametangaza kwamba tayari amefungua kesi na anadai fidia ya tsh bil 5 kwa kuchafuliwa na Mwijaku Zaidi Soma: Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya...
9 Reactions
44 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa...
20 Reactions
124 Replies
3K Views
TANGAZO UBALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA UNAOMBA KUWAJULISHA UMMA WA WATANZNIA KUWA DEREVA MTANZANIA BW. SHAMSI FAUSTIN LYANGA (40) ALIYEKUWA AKIENDESHA GARI NO. T124 ARQ KUTOKA DAR ES SALAAM...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Ikiwa Uhuru utatishiwa, basi Demokrasia na Uchaguzi vyote vitaathirika, kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, mazingira ya Vyombo vya Habari yalijipambanua kwa kufungiwa kabisa kufanya kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Damas Ndumbaro amehimiza na kuwasisitiza wasanii kujiraismisha ili kurahisisha mipango ya Serikali ya kuwatafutia fursa mbalimbali kwa kuwa sanaa ni...
1 Reactions
2 Replies
331 Views
Ni muda sasa Posta Kawe ni kama haifunguliwi kabisa shida ni nini. MD Ndg Mabeans Chande tafadhali shughulikia hili au toa tamko. Posta ni kiuongo muhimu sana katika ulimwengu wa biashara na...
2 Reactions
2 Replies
444 Views
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi. Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela...
8 Reactions
179 Replies
7K Views
Mwigulu, hotuba ya bajeti ya serikali, uk.44, ulisema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa $2.1 bilioni (Sh4.89 trillioni)...
26 Reactions
128 Replies
7K Views
Tangia saa 2 asubuhi leo huku Halmashauri ya wilaya ya Meru TANESCO wamekata umeme mpaka sahizi. Kwanini umeme ukatwe kwanza bila taarifa? Na mpaka sahizi? Kuna tatizo gani. Kwanini Huu...
2 Reactions
4 Replies
682 Views
Mheshimiwa Philipo Mpango tunaishukuru Serikali kwamba hatimaye barabara ya kutoka Chanika imefika zingiziwa. Yaani imeishia getini kwako mheshimiwa. Tulikuwa tunaomba angalau basi utusaidie...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Taharuki na matumbo joto kwa wanasiasa wabunge wa majimbo ya SINGIDA baada ya tetesi hizi kusambaa kama bush fire 🔥... Ameamua kubadili gia angani mapema, baada ya kutathimini kwa kina...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member...
23 Reactions
93 Replies
8K Views
Tanzania inatimiza miaka 32 tangu kurejeshwa rasmi kwa siasa za vyama vya vingi nchini. Julai, 1992 Tanzania iliweka wazi kurejesha mfumo wa siasa za vyama vingi, ambapo mwaka 1995 ulifanyika...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Salaàm! * Habari ya kuwa Abdul alimfuata ili ampe rushwa ni maneno yake mwenyewe. JIULIZE Why mwanasheria nguli afuatwe ili apewe rushwa afu asishitaki kwenye vyombo vya dola. * Kutoa...
1 Reactions
7 Replies
599 Views
Back
Top Bottom