CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Naulliza swali hili kwa msingi mkubwa.
Let us keep record, tuone baada ya miaka kumi kama hawa ma RC wanaoshabikia kutumbua watu na wao kutumbua watakuwa hata na nyumba ya kujenga kwa hela zao kwa mshahara tu.
Maana kwa mishahara ya watanzania ni nadra mfanyakazi wa serikali kujenga nyumba ya "maana" (of course ukiondoa wachache wa milioni 40..... alizozisema JPM).
RC mishahara yao inaagukia kiasi gani? Sitegemei waziri wa Magufuli ajenge hekalu mbezi beach, lakini siburi, watajenga halafu wanasema wanatumbua majipu!
NOTE " SITETEI UFISADI WALA WIZI ASILANI!