Hali ni mbaya hii nchi kila kundi linateseka isipokuwa viongozi

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,322
4,996
Kila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu mno gharama za maisha nazo zipo juu wananchi tunateswa sana hakuna kundi la watanzania lenye unafuu isipokuwa Viongozi wetu pekee ndio wanaofaidi keki ya taifa ata wewe mkuu ulikiri wazi kuwa wateule wako wanakula sana watanzania wengi wamebakia kubangaiza

Vijana na ukosefu wa ajira
Wastaafu na kikokotoo
Watumishi na udogo wa mishahara
Machinga na migambo
Wafanyabiashara na utitiri wa Kodi
Wakulima na ukosefu wa masoko
 
Kila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu gharama za maisha nazo zipo juu wananchi tunateswa sana hakuna kundi la watanzania lenye unafuu isipokuwa Viongozi wetu ndio wanaofaidi keki ya taifa ata wewe mkuu ulikiri wazi kuwa wateule wako wanakula sana watanzania wengi wamebakia kubangaiza

Vijana na ukosefu wa ajira
Wastaafu na kikokotoo
Watumishi na udogo wa mishahara
Machinga na migambo
Wafanyabiashara na utitiri wa Kodi
Wakulima na ukosefu wa masoko
unapotosha wa wazi sana huu asubuhi mapema...

wenye bidii ya kutafuta na moyo wa kutokukata tamaa wanakutazama na kukushangaa tu, wanatakufakari kwamba uskute, huyu mvivu ameandika upotoshaji halafu karudi kitandani kulala dah🐒
 
Ungeongeza
Isipokuwa Viongozi na Machawa 👁🤦🏽‍♂️
 
Mtanikumbuka
 
Gharama za maisha zimepanda, wao hawawezi kuzisikia sababu wanachota vikubwa, hivyo hawana tabu.
 
Kila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu mno gharama za maisha nazo zipo juu wananchi tunateswa sana hakuna kundi la watanzania lenye unafuu isipokuwa Viongozi wetu pekee ndio wanaofaidi keki ya taifa ata wewe mkuu ulikiri wazi kuwa wateule wako wanakula sana watanzania wengi wamebakia kubangaiza

Vijana na ukosefu wa ajira
Wastaafu na kikokotoo
Watumishi na udogo wa mishahara
Machinga na migambo
Wafanyabiashara na utitiri wa Kodi
Wakulima na ukosefu wa masoko
Machawa wa, CCM, kama, kama kale ka dada penyeza, sijuhi peneza,baada ya kuongelea haya, kanajificha nyuma ya chadema, laiti kangejua kanatumika tu, utamu, ukiisha, kanatemwa
 
Watawala na wapambe wao viongozi wa dini ndio wanakula mema ya nchi
Nyie wananchi ni punda afe mzigo wa bwana ufike.
 
unapotosha wa wazi sana huu asubuhi mapema...

wenye bidii ya kutafuta na moyo wa kutokukata tamaa wanakutazama na kukushangaa tu, wanatakufakari kwamba uskute, huyu mvivu ameandika upotoshaji halafu karudi kitandani kulala dah🐒
Wewe mwenyewe ungekuwa busy mda huu wala tusingekuona humu tatizo ni uchawa tu unadhani utawafikisha wapi
 
Kila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu mno gharama za maisha nazo zipo juu wananchi tunateswa sana hakuna kundi la watanzania lenye unafuu isipokuwa Viongozi wetu pekee ndio wanaofaidi keki ya taifa ata wewe mkuu ulikiri wazi kuwa wateule wako wanakula sana watanzania wengi wamebakia kubangaiza

Vijana na ukosefu wa ajira
Wastaafu na kikokotoo
Watumishi na udogo wa mishahara
Machinga na migambo
Wafanyabiashara na utitiri wa Kodi
Wakulima na ukosefu wa masoko
hela ngumu hadi kwenye betting. imagine leverkusen kasepa na kijiji jana.
 
Wewe mwenyewe ungekuwa busy mda huu wala tusingekuona humu tatizo ni uchawa tu unadhani utawafikisha wapi
mbona umepanic gentleman,
kazi kwa bidii ni heshima bana,
huwezi kupanic, kulalamika na kunung'ubika hovyohovyo ukijitegemea :pedroP:
 
unapotosha wa wazi sana huu asubuhi mapema...

wenye bidii ya kutafuta na moyo wa kutokukata tamaa wanakutazama na kukushangaa tu, wanatakufakari kwamba uskute, huyu mvivu ameandika upotoshaji halafu karudi kitandani kulala dah🐒
We huwezi kuelewa kwa kuwa ni chawa unategemea viji posho vya hao hao tunaowalalamikia.
 
Back
Top Bottom